Inafahamika kwamba #RomaMkatoliki na #Stamina ni wasanii wenye uwezo mkubwa. Mwaka 2016 walifanya vizuri sana kwenye Fiesta. Hata hivyo, hilo haliwapi mamlaka ya kuchafua Taasisi yoyote...
Heshima kwenu wakuu
Nabarikiwa sana na huyu mtumishi wa Mungu, nyimbo zake zimebeba ujumbe murua. Mwenye kujua historia yake japo kwa ufupi anaweza kunisaidia pengine maisha yake yanaweza kuwa ya...
Hamisa Mobetto amempa mtoto wake jina la Abdul Naseeb. Jina ambalo limeanza kumaliza maswali mengi ya mashabiki ambao walitaka kumjua baba wa mtoto huyo.
Jina hilo ni la Babu yake anayeitwa...
Malkia dadake na bashite
Bado anaendelea kutesa na kufunika instagram
Kutesa kwa zamu hii zamu ya mange kimambi
Namkubali sana anavyowarusha roho wale wa upande wa pili
Mange ametufumbua macho...
Nimefurahishwa sana na nilivosikia kitendo cha Kingkiba alivoungana na mwenzake ommy dimpoz kwenda kumpongeza dada yetu mpenda happiness magese ambae juzi kati kapata mtoto baada ya mapambano ya...
Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi,Maurid naona naye amekuwa king of social media.Watu wengi sasa hivi wameiga maisha ya lemutuz ya kupost kila wanalofanya au kuona kwenye mitandao hasa...
Daniel Craig says he is coming back as James Bond.
The actor was asked whether he will play the secret agent again during his appearance on US chat show The Late Show.
"Yes," Daniel told host...
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]...
Roma na Stamina wametinga studio za clouds fm wamevaa jezi.
Jezi ya RomaMkatoliki Imeandikwa WEMA ya Stamina Imeandikwa ZARI.
.
Unadhani wana maana gani?
-Ndumilakuwili-
Imebainika kuwa licha ya vijana hawa wa shilawadu kuwa na kipaji cha kunyapia umbea, wanakipaji kingine cha ziada cha kukimbia mbio fupi na hata zile ndefu kwa kasi kubwa zaidi hata kumshinda...
Msanii wa Mkali wa bongo fleva Ali Kiba anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku chache zijazo,kwenye
ukurasa wake wa Instagram Msanii huyo nyota wa kimataifa amepost "cover page" ya wimbo wimbo...
waigizaji wengi hasa movie za kitanzania au maigizo ya luningani ama celebrities..wanaposhut acene wapo bar wanakunywa bia ni lazima wabandue ile karatasi kwenye chupa ya bia yenye brand...
Party hii bab kubwa ilifanyika jijini Mwanza tarehe 4 Agosti 2017 maeneo ya ROCK BEACH GARDEN.
Afrisana Production walihusika katika picha na video.
Click ujionee mwenyewe
Akizungumza hivi punde tu na Kituo cha Redio ambacho kinakuja na Kasi ya Kimbunga cha Efm katika Kipindi maarufu cha ' Joto la Asubuhi ' Msanii Ibrahim Musa ( Roma Mkatoliki ) amewataka Watanzania...
Akiongea na kipindi Cha Shilawadu cha clouds tv,Mzee Abdul Nasibu baba mzazi wa diamond ametoa baraka zake zote kwa mtoto wa Hamisa Mobetto ambae inasemekana amezaa na Diamond na kupewa jina La...
Habari za weekend wadau wa Celebrit Forum.
Kuna kundi lililokuwa linaundwa na mabinti wanne, walikiwa wakiimba nyimbo za Injili kama sikosei.
Kuna wimbo waliwahi kuimbia Tanzania.. "Tanzania...
BY @idrissultan - Respect our models, sio kila mdada aliye kaa kaa uchi tu anaitwa model .. Flaviana is a model, Herieth Paul is a Model, Millen is a model, Maggie Vampire is a model, Niler is a...
Ebana huyu mchizi anaweza sana hiki kipindi cha Uswazi, Zembwela we mbaya. Big up Zembwela.
----------------
Mtangazaji wa kipindi cha redio HOTMIX na television USWAZI vinavyorusha na EATV...