Huyu dada alikuwa anatangaza redio uhuru kipindi cha bongo fleva pamoja na sebastian maganga.Na usiku kulikuwa kuna kipindi alikuwa anakiendesha bahati mbaya sikumbuki jina la kile kipindi ...
Baada ya mda mrefu kuibuka maneno ya chini chini kuwa Mtoto aliyejifungua Hamissa mobeto ni wa Diamond Platnumz huku Mama Diamond na Diamond mwenyewe wakishindwa kukana tuhuma hizo
Siku ya jana...
Wale watu wazima wenzagu, enzi hizo hakuna cha "Isidingo The Need" wala sijui Tamthilia za Kifilipino. Ilikuwa ni "mikanda" ya ngumi na ile ya kivita. Vurumai za makomandoo na vita vya Wavietnam...
bila ubishi taarifa ya habari ya kituo cha itv ya saa 2 usiku kila siku ndio inayoongoza kwa kuwa na watazamaji wengi hapa nchini kuliko ya vituo vingine vya televison, sasa je ni reporter gani...
Wote ni wakali ila ni Nani mkali zaidi hapa hapa kati ya Rayvanny na dogo Asley, hapa chini mlinganisho wa hits zao
Rayvanny
1. Kwetu
2. Natafuta kiki
3.Zezeta
4.Mbeleko
5.Chuma ulete
Asley
1...
Jeshi la polisi Mkoa wa Ilala, limewakamata watu saba akiwemo msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine...
My take:
Kama Lissu atafanikiwa kuishawishi Mahakama kutopokea ushahidi huo kwa hoja alizozitoa Mahakamani siku ya jana,basi hii itakuwa ni historia na pigo kuwa kwa walioteta huo ushahidi...
Wakuu habar,
Kama kichwa cha habar kinavyoeleza,huyu jamaa amekuwa akitaka kwa nguvu ulimwengu ujue kuwa yeye ni SHADY,
Swali langu ni je..? jamaa anataka kutufahamisha kuwa amekuja kivingine...
Nimekuwa siku hizi nikivutiwa mno kila nimwonapo Mtangazaji mahiri na mwenye mvuto wa aina yake na uliotukuka kabisa Zamaradi Mketema akiwa ana mwili ulioshiba na ulionenepa vizuri kiasi kwamba...
Wakuu!
Huyu jamaa alikuwa akiendesha kipindi cha Reggae pale East Africa Radio na baadae EATV pia. Naomba kujua ni Mtanzania au ni raia wa nchi gani? Na bado anaendelea na kazi yake? Binafsi...
Sudi na huyo mbea mwezio wa kiume mmefikia hatua mbaya ya kushindwa kutunza heshima za watu.
Kipindi chenu cha tar 14th/07/2017 hakikuwa cha kistaarabu pale ambapo mlifika KIBONA HOTEL na...
Mtangazaji na muigizaji Ellen De Generes anaefahamika kwa kuhost show ya the ellen show amesherekea kwa kutimiza miaka tisa ya ndoa yake aliofunga na mwanamke mwenzake muigizaji wa zamani Portia...
Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja)kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.
Picha hapo chini[emoji116]...
Huyu Diamond huyu sidhani kama ana dalili ya kushuka,
simuongelei kiushabiki ila trust me, I wish mngepata nafasi ya kuusikiliza wimbo wake mpya aliorecord na Patoranking ebhana usipime!
Yani huu...
Mi ni mtu mzima ila nafuatilia mziki wa vijana tena vijana kweli , yaani wale wenye umri mdogo lakini wanafanya vema katika gemu kama niliowataja hapo juu ns hakuna aliefikisha miaka 25.
Sasa leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.