Kesho asubuhi kuna tamasha kubwa litafanyika taifa .
Msikose kiingilio bure
Mgeni rasmi ni Mh majaliwa na Ali hasani mwinyi
Wasanii watakuwepo
Kama vile wcb ali kiba ,wasanii wa...
A popular singer has been arrested for "dabbing" during a concert in south-west Saudi Arabia.
Abdallah Al Shahani, a TV host, actor, and Saudi national, was performing the dance move, which...
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Dogo Janja kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu mahusiano yake, na kutoa sintofahamu kuhusu kutoka kimapenzi na muigizaji wa filamu za kibongo Irene Uwoya...
Watu wamekuwa wakimsifia kuwa irene uwoya ni chuchu saa sita kitu ambacho c kweli, irene ana mtoto mmoja hivo hawezi kuwa na hayo mambo saa sita.
Ninachoweza kueleza ni kuwa kutokana na irene...
Harmorapa aelezea maisha yake yalivyokuwa na biashara za mitumba alizofanya pia hajawahi ishi na baba na mama kwa kuwa walitengana. kama kawaida yake hajamuacha wema sepetu salama.
Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza...
Wakati akijibu post ya shabiki wake,wema sepetu aweka wazi kuwa madawa ya hospital anayopewa na madokta ili kumsaidia apate mtoto ndio yanayomnenepesha.
Je ni sahihi kwake kuweka wazi jambo hili?
Hi All
Kwa nin tanzania tumekua na mfumo mmoja wa comedians, i.e all comedians wanatumia mfumo wa taarifa ya habari, ( Yaani kwenye comedy kunakua na mtu anatangaza taarifa ya habari theni ndo...
Huyu jamaa ngoma zake Kali sana, pamoja na ngoma nyingi alizotoa, hakuna anayoimba lakin huwa zinauza mno. Ametoa juzi "I'm the one", baada ya muda mfupi katoa "wild thoughts" akiwa na Rihanna...
Diva akiwa katika kipindi cha Ala za Roho amefunguka kuwa hata kuja kumsahau Diamond (Chibu), Unaweza Play Kusikiliza akitililika kwa sauti yake ya Usiku
Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye...
Tuzo za Uganda Entertainment Awards 2017.
Wamechagua wasanii wakitanzania Karina nominees zifuatazo.
Diamond platnumz na Darasa wamepachikwa kama East African Act #UEA2017.
Rayvanny na Vanessa...
..Ali Kiba ashiriki kampeni za muungano wa NASA/ Raila Odinga.
..kuna taarifa kwamba Ali KIba ana urafiki wa karibu na Gavana wa Mombasa, Hassan Joho, ambaye anatokea chama cha Raila Odinga.
Kwa wale mashabiki wa Arsenal, mchezaji wa zamani wa Timu hiyo yuko Dar es Salaam kwa mualiko wa Sport Pesa na jana alikua maeneo ya Break Point Konondoni akifurahia maisha.
Hawa wafadhili wapya...
Mwanadada mwenye sauti ya kumnyofoa nyoka shimoni, Diva wa clouds FM wamekuwa wakitaniana sana na Mzee Mbwiga Ambugwike ambaye Mara kipindi cha michezo kiishapo usiku hubaki kwa muda akianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.