MSANII wa filamu Bongo , Miriam Jolwa ' Jini Kabula 'na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu , Ruta Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha ndoa tena .
Akizungumza Kabula alitoa ya...
Wasanii mbali mbali wakiwa njiani kuelekea Tanga kumsupport Rais Magufuli atakapoweka jiwe la msingi katika mradi wa Bomba la Mafuta Tanga Kesho, Namuona Stamina,@shilolekiuno_badgirlshishi na...
Rihanna anawapatia wasichana nchini Malawi baiskeli ili kuwasaidia kupata elimu. Ni mojawapo wa ushirikiano kati ya Wakfu wa mwanamuziki huyo wa Clara Lionel Fountaion na kampuni moja ya baiskli...
Hakika huyu dogo kwa umakini na umahiri wa hits anazotoa, muda si mrefu atakuwa nyota namba one pale WCB na Tanzania kwa ujumla!
Hasa baada ya Diamond kuanza kuimba nyimbo za singeli.
Hakika...
Harmonize amesema kuwa Kabla ya Mr Nice, nilitaka kumuweka Bwana wa zamani wa Wolper (Dallas) kwenye Video yake ya Sina. Unaweza bonyeza play kumsikilize akifunguka mengi hapo chini.
Wengi sana najua hawajailewa Video ya ENEKA ya Diamond Lakini hii ni kutokana na kukurupuka katika kuangali video!!!
Hii video ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa Diamond ni Mbunifuu sanaa na...
Staa wa Bongo Fleva, Msami Baby, anayetamba na kibao chake kipya cha So Fine, alichomshirikisha rapa machachari, Chemical amefungukia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa, Irene Uwoya...
Wanajamvi salaam
Nimeona video ya wimbo mmoja wa lavalava na linex. Nimeshangaa kuona eti lavalava amepanda na viatu kitandani hizi video za kibongo kazi kweli kweli
Sent using Jamii Forums...
Mm ni mkereketwa namba moja wa wasafi yaani huniambii kitu kuhusu wcb_wasafi but kuna tabia fulani naiona ni unprofessional, hii ni tabia ambayo kwao wanaiona nzuri but kwa upande mwingne ina...
Kufuatia kusambaa mitandaoni kwa video inayoonesha mashabiki wa EFM wakimzomea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akiongea nao siku ya tamasha lilioandaliwa na EFM linalojulikana kama komaa...
Msanii wa hiphop Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua kwa kuwa watu wanamuona yeye ni mgumu kwakuwa anafanya mziki wa hiphop ngumu ila amethibitisha kuwa anaweza kucheza singeli kama wadada wengine.
Hivi ukiwaangalia hawa bongo movie wote Wa kike na Wa kiume huwa mnawaelewa kweli
Kwa maana ya IQ ...elimu...mtazamo Wa maisha...lifestyle nk
Ukisikia Mdogo wako Wa kike au Wa kiume anataka...
Ndugu wanaJF,
Shahidi kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Elias Mulima amesema sampuli ya mkojo wa msanii Agnes Gerald 'Masogange' ulikutwa na heroin.
=====
Mfululizo wa kukamatwa, kesi...
Hivi karibuni katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii ili kujipatia habari nilikutana na picha chafu za uchi za binti wa Kitanzania ambazo nilifanya kuzipotezea,kilicho ni shangaza siku...
Nashindwa sana kumuelewa huyu Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Mariam Dodo Abdallah kwa vitendo vyake vya kuwa anakosea / anakengeuka / anavapa kila mara anapokuwa akitangaza iwe ni asubuhi...
Mimi naanza;
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Arnold Schwarzniger muigizaji mashuhuli kutoka USA..
Pia ni siku ya kuzaliwa ya meneja wa chelsea fc ya Uingereza Antonio Conte
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.