Nasema tu ukweli hii wiki imekuwa ngumu sana kwa sisi timu kumchukia Zari. Hii mijeledi waliyotutandiki wiki hii si ya nchi hii kwa kweli daahh. Anyway wacha nihangaike na mahusiano yangu.
Ukichunguza kwa umakini utagundua @mcharuko_ na @carrymastory wanamtumia sana dai &zari ktk account zao siyo kwamba wanawachukia laa hasha wanaongeza attention ya followers yaani kwa kiswahili...
Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila 'Ray C' amedai kumfunga mwizi aliyedukua (hack) ukurasa wake wa Instagram uliokuwa na wafuasi zaidi ya laki tano na kusema kwamba hataweza...
DIAMOND AWATOLEA MAPOVU WANAOMPONDA ZARI. . By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo...
John Kimario maarufu kama Prince Galaxie ni msanii chipukizi kutoka kata ya Kirongo Samanga Usseri wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ameanza game tangu 2014 lakini sasa amekuja na ngoma yake mpya...
-Mmoja ya wahariri mahiri kwenye vyombo vya habari
-Amewahi kutunukiwa Tuzo ya Uandishi Bora wa mambo ya utalii kwa Afrika nzima
-Mara ya mwisho kumsikia ni kipindi kile yupo The Guardian baada ya...
Mwanamuziki ambaye pia ni hit maker wa ngoma inayosumbua kwa sasa ijulikanayo kama "Mwanaume Mashine" Msaga Sumu amedai kuwa ngoma hiyo licha ya kumletea mafanikio ya muda mfupi kulinganisha na...
Wakati ulimwengu ukijiandaa kuangalia pambano la kukata na shoka kati ya Floyd Mayweather(The Pretty Boy) na Conor McGregor mnamo tarehe 26 August pamoja na lile la Canelo Alvarez na Gennady...
Moja ya story ambayo inatrend kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni pamoja na issue aliyoiandika Mwigizaji staa wa Bongomovie na Miss Tanzania 2006 Wema sepetu katika ukurasa wake wa Twitter...
Nimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai...
Habarini Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki
Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja...
Emmanuel Mgaya, Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiwa nchini Marekani amekutana na kuzungumza na watoto Sadia na Wilson ambao ni majeruhi ya ajali ya shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha...
Msanii Wa Muziki wa Kizazi kipya anayefanya vizuri hivi sasa na Mkwaju wake mpya 'Got me' Sunday 'Linex' Mjeda amefunguka na kudai kuwa wiki mbili zilizopita alipokea simu ya Msanii na Dj Maarufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.