Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwimbaji kutoka Toronto nchini Canada, Justin Bieber anadaiwa kuanza kwa vitendo safari yake ya kumrudia Mungu aliyokuwa akiizungumzia mara kwa mara, baada ya kuahirisha ziara yake. Mtangazaji wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huu wimbo mpya ws rich mavoko ni copy and paste ya wimbo wa show me by harmonizd. Sasa sijaelewa ni bifu au ni kwamba ameishiwa melody na mashsiri. Inasikitisha wakati mwingine mabit na mamelody...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Msanii Shetta Msanii Shetta ametaka watu wasimuhisi kuwa anajishughulisha na biashara za madawa na badala yake watambue yeye ni mtu anayetumia fursa kila aonapo na ndio maana ana marafiki wengi...
5 Reactions
20 Replies
7K Views
===== Alhamisi iliyopita kulienea taarifa za hali ya ugonjwa ya mama huyo kutokuwa nzuri baada ya kudaiwa kupumulia mashine ya oksijeni kwenye Kitengo cha Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali...
9 Reactions
158 Replies
30K Views
Takribani sasa kila video anayo itoa diamond platnumz inazidi kuonesha ni kwa namna gani sasa ujuzi wake tulio uzoea sasa kaishiwa kwa amabo wako makini wameweza kujionea nyimbo zake mbili hizo...
2 Reactions
50 Replies
10K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Mashabiki wengi waliofulika kwenye show ya jana dar ambayo ilikuwa na mastaa wengi mmoja kutoka USA na SA pamoja na na wale wa hapa bongo kama v money...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
(CNN)It was an oddly familiar O.J. Simpson that for a little while filled TV screens across America on Thursday. A Nevada parole board decided Simpson should be freed after the former NFL star...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nani anamkumbuka huyu dada aliwahi kuwika na nyimbo zake kama ngoma za kwetu, na fitina ambao ulikuwa kati ya nyimbo nzuri mara gafla baada ya album yake hiyo akapotea. Kuna mwenye habari zake...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kaeleza hayo akihojiwa na mwanahabari wa ESPN, ndio maana akaamua kuwa the toughest in the world/ alifanya siri akihofia watu kum-judge. Baba huyo wa watoto 8 anasema it made him no less of a man...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ngoma mpya ya Mavoko alomshirikisha mwamba wa kaskazini Fid Q iko hewani sasa Nenda wsafi.com kuipakua inaitwa Sheri.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kuna show kubwa sana tar 22 mwezi huu pale leaders club, pamoja na kuwa inahusika na wasanii heavy weight kama future kutoka USA, Casper nyoves kutoka SA na diamond kutoka bongo lakini naona kama...
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Mr Nice, mbongo flavor wa zamani amebabwa maeneo ya uwanja Fisi Dar, wakinywa pombe na mwanamke Fulani hivi. Wakihojiwa na shilawadu ya Sudi Brown wa clouds FM hivi punde mashuhuda...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Bado sijajua kipi hasa kimewakumba wasanii wetu, kiukweli wasanii wanaofanya kazi serious ni wachache sana watu wamebaki kusifia video tu! Nikisikiliza na kuangalia hizo top 10/20 zao huwa huwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
So Diamond Platnumz jana alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria harusi ya kimila ya Peter Okoye wa kundi la P-Square na mchumba wake, Lola Omotayo iliyofanyika jijini Lagos...
3 Reactions
74 Replies
22K Views
Chester Bennington *1976 - 2017 †
1 Reactions
11 Replies
3K Views
30/03/2016 ndio siku uliyofanya semina elekezi pale Turiani sekondari kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari, juu ya ugonjwa wa Endometriosis ambao umekutesa kwa muda mrefu sana . .Kikubwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom