Kupitia akaunti yake ya instagram, Mama mzazi wa Diamond Platinumz ameendika maneno machache lakini yenye ujumbe mzito kwa mama wa wajukuu zake, Zarina Hassan aka Zari the Boss lady. Ni maneno...
Wakuu,
Nilikua na adabu mjini nikiwa maeneo yangu nikijua kwamba labda nitadakwa na kamera za Shilawadu lakini kumbe "hakuna shilawadu wanaofumania"
Ukiangalia jinsi wanavofanya vipundi vyao...
Akihojiwa na Sudi Brown wa You Heard ya Clouds FM, Amber kadai kaamua kuifuta tatuu ya Young Dee kwa sababu hakuna chochote kati yao ila ni urafiki tuu. Young Dee kwa upande wake naye kadai...
Siku chache baada ya kubainika kuwa, Miss Tanzania 2006-07 ambaye pia anatisha katika tasnia ya filamu nchini, Wema Isaak Sepetu ni mtumiaji mzuri wa nyama ya Nguruwe Kitimoto, imeonekana...
Baada ya beef na mvutano wa muda mrefu baina ya Ruge (clouds media) na msanii Rama dee sasa wameamua kuzika tofauti zao
Itakumbukwa Rama dee ni miomgoni mwa wasanii waliokuwa wanaendesha kampeni...
Majina ya wasanii wanaowania tuzo za mwaka huu za AFRIMMA-2017 yametajwa.
Diamond Platnumz ameongoza kwenye tuzo orodha hiyo kwa kutajwa kwenye vipengere vingi(ambavyo ni vitano).
1.Best Male East...
Hellow wakuu
Kichwa cha habari chajieleza,
1.kuna nyimbo ya justin timberland ameimba beat ni la kihindi , wimbo unaanza mdada wa kihindi akitokea kwenye kikapu (tenga) mwishoni alirudi kwenye...
“Nimeondoka Rockstar sio sababu Alikiba ni Boss” – Baraka the Prince
Kama utakumbuka mwaka 2016 mwimbaji Baraka Da Prince alisaini mkataba wa kufanya kazi na label ya Rockstar 4000 lakini baadae...
Msanii namba moja Tanzania na Afrika Mashariki,Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania categories TANO kwenye mashindano ya muziki ya Afrika yanayoandaliwa nchini Marekani.
Muhenga yeye...
Wakihojiwa hivi punde na Soud Brown wa YOU HEARD ya Clouds FM, Flora amesema kamwachia Mbasha kila kitu kuanzia nyumba, magari na pesa benki ktk akaunti zote. Kibaya anadai jamaa hamkumbuki...
Sote tunafahamu Hollywood wanamji wao ambao wanakaa mastaa movies, music nk mitaa ya Beveryhill huko nk. Kuna kipindi mastaa wabongo pia waliwahi pewa eneo wajenge. Iliishia wapi hiyo mana...
I see Chid Benzi illuminating once again. The man has been in ups and downs for several times on his battle against drugs. But with all this, his talent has never trembled even a bit. Jamaa...
Mabondia Floyd Mayweather na Conor McGregor wamekutana tena, mara hii wakikutana New York, ambapo tambo na majigambo vilichukua nafasi baina yao huku kila mmoja akitamba kuibuka mshindi katika...
Hivi huyu dada nyie mnamuonaje, mi naona anakaribia kunifanya niache kukiangalia kipindi ambacho nakipenda. Sauti ya kuchonga, mavazi shida. Kweli kuna kazi ni kipaji na hutakiwi kulazimisha...
Mimi kama muhenga wa JF Kuna hii trend inayoendelea sasa hivi kuhusu wahenga nakumbuka niliwahi kumsikia mtangazaji mmoja wa Eatv anaitwa Materu wa Materuni alkuwa akitoa misemo hii kipindi cha...
Msanii wa RnB Usher amemlipa fidia Ex wake baada ya kumuambukiza gonjwa la zinaa ‘Herpes’ miaka kadha iliyopita. Kwa mujibu wa Radar Online, Usher ametoa dola milioni 1.1 kumaliza kesi...
Inadaiwa walipigana na producer. Hayo yamebainika Leo kupitia You Heard ya clouds FM na Sudi Brown.Na alitumia chupa kumpiga producer huyo.Aliambiwa ajiandae maana kesi ishafika polisi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.