Habari wakuu
Naweza kusema mpaka sasa wizkid (Nigerian's Afro-pop artiste) hana mpizani katika anga la muziki Africa.. Huyu jamaa kadri ya siku zinavyosogea na yeye ndo anazidi kutusua...
Msanii wa muziki wa dansi nchini Tanzania, Chaz Baba amefunguka kwa kudai muziki wa dansi hawezi kufa kama wasanii wake wangali wapo hai huku akisisitiza kwamba na kama ukifa basi heshima ya 'Live...
MILLEN HAPPINESS MAGESE: ASIMULIA AMBAVYO HAWEZI KUBEBA UJAUZITO
Na Martha Mboma (ANAJIANDAA, anaonekana kuwa ni mtu mwenye hisia sana kabla ya kuanza kuzungumza, anamuuliza jambo Lucy Ngongoseke...
Leo kwenye account ya Wasafi.com wameweka kwamba diamond platinum ndo anaongoza kuwa na subscriber wengi 600,177 kwa tanzania akifatiwa na Milladyayo na Global Tv hizi ni kwa mujibu wa Youtube kwa...
Katika playlist yangu ya weekend iliyopita nyimbo za msanii Belle 9 zilitawala. Ukiachilia mbali sauti yake, melodies zake pamoja na back vocal anazozipiga kuna kitu kilinijia katika akili yangu...
Je ni kwanini kila mnapomualika ' Mgeni ' anayezungumza lugha ya Kiingereza ni Babie Kabae tu ndiyo anauliza maswali mengi ila mwenzake Hassan Ngoma anauliza machache?
Je ni kwanini kila...
R. Kelly ni mwimbaji aliye gwiji. Ana kipaji kikubwa sana. Binafsi nazipenda sana nyimbo zake.
Ila, huyu jamaa huenda akawa ana matatizo ya kingono. Tuhuma za yeye kujihusisha na visichana vidogo...
Akihojiwa hivi punde na You heard! Ya clouds FM na Soud Brown, Mwanadada mwenye msambwanda mkubwa Africa Mashariki na kati amesema anamnyatia Dangote. Kasema ni kawaida sana mtu kupenda na...
Kikundi cha vijana cha nchini Nigeria kinachoitwa APC youth renaissance group(haijathibitika kama kinahusika na chama tawala cha APC cha Nigeria) kimewahimiza Polisi kumkamata Peter Okoye...
Nampenda sana Vannesa Mdee mtoto ana swaga sana. wasanii wa kimataifa tanzania kwa sasa ni V.Money na Diamond tu wengine waigizaji tu. sijui kuna mwingine anajiita mkurugenzi hamna kitu pale...
Msanii Linah Sanga 'Ndege Mnana' amekanusha taarifa zinazoenea mtandaoni kuhusu suala la kujifungua na kuwataka watu wazipuuzie huku akiwasihi mashabiki zake waendeee kusubiri taarifa iliyo...
Huku mpinzani wake mkubwa kwa upande wa mziki wa bongo flava mond kawa nominated kwenye tuzo kama tatu iv lakini kwa king kiba hari iko tofauti maana tokea huu mwaka uingie king kiba hajatajwa...
msanii huyoamedai skendo kubwa ya Wolper iliyomtikisa ni yeye kusema hadharani alirekodiwa video za utupu na mpenzi wake wa zamani ila akajipa moyo akiwaza mbona hata Kim Kardashian alirekodiwa?
Kisela imewahi kutoka na ina trend no 1 You tube, Eneka ina viewers wengi ila haipo top 10 katika trend, je ni kwamba viewers wa Eneka ni wa kupika, kila nikiiingia You tube number 1 ila viewers...
Baada ya kuikosoa vikali albam ya Jay Z ‘4:44’, 50 Cent ametangaza kuonesha mfano kwa vitendo kwa kuachia albam mpya mwishoni mwa mwaka huu akitamba kuwa itaipiku ya Jigga.
Kiongozi huyo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.