Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Madudu yake ya nyuma ya bumburuka mtandaoni Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app Je umeelewa nini katika picha
11 Reactions
459 Replies
88K Views
Tunabishana na mshikaji apa anadai shows za ulaya zinalipa zaidi kuliko show za msanii anazopiga Africa nikimanisha show za ndani (nchini na nchi za kiafrica) Mm naamini na nitaendelea kuamini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Aiseeee! Huyu mwanadada alikua amefit sana pale kwenye planet bongo, alikuwa anaipatia vizuri sana akiwa na Dulla lakini nimeshangaa Juzi nasikiliza tena online mara nakutana na jamaa mwingne...
3 Reactions
38 Replies
12K Views
Mwanamuziki Beyonce ambaye pia ni mke wa rapa Jay Z amepost picha ya kwanza akiwa na watoto wake mapacha Sir Carter na Rumi, Beyonce amepost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa Husika na kichwa cha habali hapo juu Ni dhahiri sasa watu wa mwanza wameamua kaz kuna wasanii ambao kwa sasa ni tishio na wote ni kutoka mwanza mwanza...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na ukata. Kupitia kipindi cha Clouds e...
6 Reactions
120 Replies
22K Views
STAA wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper, ameibuka na kudai kwamba ufundi cherehani ndiyo unaomlipa zaidi kuliko filamu alizowahi kucheza. Kutokana na kauli hiyo, mwigizaji huyo ambaye kwa...
4 Reactions
28 Replies
9K Views
Msanii anayeiwakilisha vyema mji kasoro bahari Morogoro Belle9 ameachia ngoma yake mpya inaitwa "Mfalme", kwa upande wangu ni ngoma kali japo ngoma imeachiwa tu mitandaoni hope ikiachiwa redioni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Jana alipopewa ' Fursa ' ya kuzungumza wakati wa ' Show ' ya Saida Karoli Waziri wa Habari, Michezo, Utamaduni na Sanaa Dkt. Harrison Mwakyembe alisema namnukuu " Nipende tu kutoa shukran kwa...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Huyu Dada ni miongoni mwa watu walioshiriki kuimba nyimbo ambazo zilipelekea wewe kusikika na hatimaye kufika hapa ulipo ( ingawa umeanza kuharibu ) hivyo msaidie usijafanye kama haujamsikia...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
BEYONCE: MAVAZI HAYANIPENDEZI KWA SASA LOS ANGELES, MAREKANI NYOTA wa muziki nchini Marekani, mke wa rapa Jay Z, Beyonce, amefunguka kwamba ujauzito wake unamfanya asipendeze na mavazi...
8 Reactions
58 Replies
9K Views
Hakuna kusubiri tena! Ay amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake remy aliyeishi nae kwa miaka nane. Ilikuwa hivi: Walikuwa wametoka Dinner, walikuwa na washkaji wao wengine mara ghafla mzee wa...
12 Reactions
216 Replies
32K Views
Jina la kitambulisho Ommary Rajabu Saleh Tambwe al maarufu Lilommy jamaa yuko kwenye tasnia kwa muda tangu enzi yuko Voice of Tabora (V.O.T) fm, Kiufupi anakipaji cha kutangaza,production,Graphix...
0 Reactions
62 Replies
14K Views
Kila mtu ana anachokipenda na anachokichukia mm kwa upande wangu mastaa ambao siwakubali ni hawa wafuatao (i)Harmorapa-hasa misifa yake (ii) Ney wa mitego- huyu hata haniingii akilini Wapo kibao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna habari ina`trend mitandaoni kuwa linex eti alipigiwa simu na Dj Khaleed na sifa kibao,hasa mpya za town inasemekana kuna hotel inaitwa KIBONA HOTEL huko mikocheni,anadaiwa hela mbuzi sijui...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo...
9 Reactions
136 Replies
19K Views
Macho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya...
2 Reactions
91 Replies
14K Views
Wolper baada ya kuachana na Msanii kutoka wasafi classic Harmonize sasa yupo na kibenten fulani hivi bishoo full tatoo mkono wake wa kulia na kwenye kifua kachora tatoo ya Wolper. wolper msanii...
2 Reactions
52 Replies
12K Views
Hii itakuwa ni series ya kila jumapili tutakuwa kila wiki tunatoa vijana wa kitanzania waliofanikiwa aidha kibiashara, au kwa kazi wanazofanya. Lengo ni kuwa support, kujua story zao wameanza...
7 Reactions
336 Replies
116K Views
Back
Top Bottom