HISTORIA iliyowekwa Julai 8, mwaka 2017 ya kufunga ndoa kati ya Mbunge wa Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni rapa mkongwe kwenye muziki wa...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mmoja wa Watu wanaoaminika kuwa ni Mbabe kama siyo Mtemi na Ngumi Jiwe wa kutukuka Kalapina jana wakati akihojiwa na Kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm...
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya amedai muziki wa rapa Nay wa Mitego hautofautiani sana na muziki wa Gigy Money na Amber Lulu huku akidai ni muziki uliotawaliwa na majungu na...
He was asked: You have been married for a while, how have you been able to hold your home together?
I must give it to my wife (Mrs Emelia Philips-Nouah). Shes a triple woman. Shes not like...
Ni mmoja wa MC's ambao walijijengea umaarufu mkubwa kwa uandishi na flow....natamani huyu msanii na wenzake kama akina Imamu Abass warudi tena tusikie ladha zao.... naomba tujuzane kuhusu nyimbo...
Wakuu leo niliamua nisikilize nyimbo za wanamuziki (wanaoimba tu) wengi wa bongoflava wale wa zamani na hawa wa sasa.
Nilichokuja kugundua Q Chief bado ni mwanamuziki wangu wa miaka yote. Sahau...
Msanii Diamond amedai licha ya kuwa na skendo nyingi ipo siku atakuwa waziri wa michezo na sanaa nchini ili kutatua changamoto katika muziki na michezo ambazo serikali imeonekana imeshindwa
Pia...
Aman iwe nanyi wapendwa wa jukwaa hili katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Wasanii madogo wa hapa bongo ambao ni wakali wa kuflow na mashail yaliyoenda shule pia ndo madogo wenye...
Serikali ya magufuli inapambana vikali na mimba za utotoni au kwa wanafunzi kwa ujumla, kwa wiki 3 zilizopita serikali imeweka msisitizo kuhusu watu kuwapa mimba wanafunzi na kuwakatishia masomo...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Habali kamili
Baada ya msanii wa kizaz kipya kutoka pande za kigoma ommy dimpoz kuachia ngoma yake mpya...
It's been 20 years since Tupac's tragic death. When you think of Tupac, you may think of him as a legendary rapper, actor, poet, and voice for the young, black community. But one title you...
Jana young killer msodoki alidondosha kichupa chake kipya ambacho humo ndani amemshirikisha msanii kutoka lebo ya WCB, cha ajabu video hiyo toka imewekwa jana usiku mpaka sasa inaongoza kuwa na...
Katika zunguka zunguka huko YouTube leo nimeona wimbo mpya wa Diamond unaitwa Eneka upo kama nyimbo za Tekno kinamna flan ila ni mzuri.
Naona kaamua kufyatua tu midude kimya kimya. Diamond...
Bila kumungunya maneno huyu demu ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben Pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na mwanaume kuingia mzima mzima bila kuchelewa...
Mwimbaji na Mbunge wa Mikumi Profesa J, Leo July 8 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace .
Picha 4: Kutoka kwenye ukumbi inapofanyika harusi ya Rapper Profesa J na Mke wake Grace .
baadhi ya wafanya kazi wa Clouds media kama perfecto alicheka nusu kuzimia ila soudy brown akaishia kuanzisha mada instagram kwa kuandika maneno haya
"Kabla ya yote kwanza Tujadiliane kuhusu...
Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia.
Hata Mimi nahitimisha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.