Leo kwenye pitapita zangu youtube ghafla nikakutana na huu wimbo unaitwa Tunafanana kaimba msanii Barnaba kusema kweli toka uvunguni wa moyo wangu wimbo huu ni mzuri sana kimashairi na melody...
Kuna wimbo fulani wa kitambo kidogo wa hip hop wanaimba hivi
"jamani mashabiki(shuka shuka),
mashabiki bwana(shuka shuka),
hata biti halijaanza(shuka shuka)"
kwa unaepata huo wimbo...
Dully Sykes amewachana wasanii wenzake kwamba kinachowafanya washindwe katika tasnia ya muziki ni kutojitambua pamoja na kutokuwa na heshima.
Dully ameeleza hayo kutokana na uwepo wake wa kipindi...
Wasanii wakubwa ndani ya Africa Davido na Wiz Kid mwaka juzi walionyesha kuwa washapata na kupiga picha pamoja ila toka mwaka jana kumekuwa na beef la chini chini.
Hii imethibikitika baada Davido...
FAIZA ALLY mke wa sugu wa Zamani a.k.a mama Sasha ambaye ni mjamzito anakaribia kujifungua hivi karibuni kapost post ya utata instagram ambayo ikimonyesha akipokea bonge la busu kutoka kwa...
Rapa Dudubaya amefunguka na kusema haijawahi kutokea akamuacha mwanamke bila mwanamke huyo kupatwa na uchizi au asilie machozi.
Dudubaya amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet bongo...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu
Habaali kamili
Msanii wa kizaz kipya chid benz amempiga mkwara wa kutosha na wa nguvu msanii mwenzie...
Idris Sultan ataonekana katika filamu ya ‘Ballin …On the Other Side of the World,’ itayoandaliwa nchini Marekani chini ya muongozaji Harvey White.
Filamu hiyo imeandaliwa kwa bajeti ya Dola za...
kwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya.
siri ya urembo wake ni...
Gigy Money bado anaendeleza uchizi wake ndani ya Mwanza car wash party baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "nampa papa". Shughuli anazofanya Gigy kama msanii BASATA itabidi walivalie njuga.
Habarini mtu yeyote mwenye kujua habari kuhusu huyu mtu naomba haziweke hapa..... maana nampenda sana huyu mdada, nataka nimpe zawadi ya kiwanja changu cha MSATA ili ahamie Tanzania
Hata unaweza...
Yooooh Niaje?
Kwa sasa kuna wimbi la wasanii wetu wa bongo flevani kuamini video kali zinabeba nyimbo hata ikiwa mbovu(kuna ukweli ndani yake).Kwa kuzingatia hilo suala la kichupa kikali...
Pumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini Tanzania, Ray C ameweka wazi kuwa kwa sasa hatamani tena kuingia kwenye suala la mapenzi na mtu yoyote kutokana na kuona anapoteza muda na kutaka kuwekeza...
Asema baadhi ya bongomovie hawana akili kwa kuwa hawataki kuboresha kazi zao. Na pia akaongeza kuwa inamaana na wao waache kuimba bongo fleva kwa kua nyimbo za kina Criss Brown na Lilyne na za...
Baada ya mda mrefu kwa nick minaj kuteka soko la muziki wa rap/hip hop kwa upande wa wanawake naona ufalme wake unaanza kuanguka pole pole baada ya kurudi kwa mkali wa hip hop Remy ma na naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.