Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Homa ya pambano la wana masumbwi Manny Pacquiao na Jeffrey Horn au Hornet kama anavyojulikana na mashabiki linazidi kupamba moto kila kukicha Jeff ametamba kumsambaratisha Pack mapema sana kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake. Nachojiuliza kama madai haya...
23 Reactions
61 Replies
8K Views
Wana ndugu leo nataka tumdadavue huyu mchekeahaji kutoka Kenya,Ndg Erick Omondi . Huyu jamaa kwa kweli huwa nashindwa kumuelewa ,hivi kwa nini anapenda kutufatilia fatilia sana Watz na sio raia...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wadau, Msanii Ali Kiba ameongeza mtoto wa tano kwa mama tofauti. Mzazi mwenzie huyo kwa sasa (single mother) ni mkazi wa Mombasa na anadai alipewa ujauzito kipindi Ali Kiba anapiga show...
0 Reactions
69 Replies
11K Views
Rapa kutoka Weusi Kampuni, Joh Makini amefunguka kuwa kampuni yao kwa sasa haina ushamba tena kwenye muziki kwa kuamini kuwa video ndiyo inaweza kukuza muziki wao na kuwapeleka sehemu kubwa zaidi...
7 Reactions
42 Replies
8K Views
Mashabiki wa Ray vanny na wcb wana maneno hatari
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Mtandao wa Bongo 5 nimekuwa nikiufatilia sana na ni moja ya mitandao ya muda mrefu hapa nchini unaomilikiwa na wanandoa wawili Lucas Neghest na Nancy Sumari.Wamiliki hawa walithubutu na wakaweza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mchezaji wa Real Madrid kapata watoto mapacha kabla Mechi za makombe ya Mabara hayajaanza ila alikaa kimya hadi jana baada ya timu yake kutolewa ndio akasema Mama wa hao watoto hajulikani Sasa...
4 Reactions
67 Replies
43K Views
wakuu habari nimekuwa nikijiuliza kitu gani kipo kwenye akili za wanamuziki wengi wa kiafrika hawawezi kutoa nyimbo zenye video hadi ziwe na video queens wenye makalio makubwa. ina maana no way...
0 Reactions
44 Replies
18K Views
Jay_z ameweka wazi kwenye wimbo uliopo kwenye album yake mpya 4:44 kuwa mama yake gloria carter ni msagaji Amerap: Mama had four kids but she's a lesibian / Had to pretend so long that she's a...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Huyu demu yupo vizuri sana kwenye comedy, nimeangalia baadhi ya clips zake mitandaoni, kwa kweli yéyé na crew yake wanafanya vizuri sana kwa sasa, nadhani kwa sasa ndio kikundi cha comedy...
16 Reactions
59 Replies
18K Views
Matokeo ni kama ifuatavyo.. BEST INTERNATIONA ACT: AFRICA -WIZKID, hapa mpinzani mkubwa alikua DAVIDO BEST GROUP - MIGOS BEST MALE HIP HOP ARTIST - KENDRIC LAMAR, hapa mpinzani alikua DRAKE...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Msanii wa filamu nchini na Rais mpya wa FM Academia, Patcho Mwamba amefunguka kwa kusema haoni tatizo kwa bendi za muziki kutumbuiza katika kumbi za baa kwa kiingilio cha vinywaji kwa kuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naona huyu dada anamfunika kwa speed sana Hamorapa
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hali ya Mwanamuziki mkonge wa Miondoko ya Dance nchini Tanzania Bwana.Shaban Dede aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar Es Salaam akipatiwa matibabu inaendelea kuimarika vyema...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ubuyu wote uko hapa
10 Reactions
88 Replies
22K Views
Ili wimbi la wasanii kuvaa macho ya paka mbona sielewi ni urembo au ulimbukeni
1 Reactions
98 Replies
24K Views
Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mara baada tu ya kuonekana katoboa pua ilikua gumzo sana...
0 Reactions
79 Replies
10K Views
Wema Sepetu alitrend mpaka nigeria kwa vazi lake linaloonyesha umbo lake la CURVE, japo watu wanahoji ni shape yake,maana haikuwepo mwaka jana imetokea wapi. je ni mchina?
0 Reactions
56 Replies
21K Views
Hawa wadada wawili waliunda kukundi kilichoitwa Unique Sisters. Kwa majina kama nakumbuka ni Razia na Rahma Kipoozi. Wadada hawa waling'ara sana miaka ya 1985-1990 hivi. Vibao vyao sivikumbuki...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Back
Top Bottom