Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

leo June 28, 2017 ni story ya Nay wa Mitego ambaye amekuwa akishutumiwa kuachia wimbo mpya Moto siku chache baada ya Diamond Platnumz kuutambulisha wimbo mpya pia Fire kitu ambacho kinadaiwa kuwa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimegugo hizo tuzo za mwaka huu. Huyu Ray sijamuona sio kwa waliotajwa kushindaniwa wala walioshinda. Au kuna tuzo nyingine zenye jina BET? Nielewesheni.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Mchungaji Gwajima alikuwa ana make headlines katika vyombo vya habari hapa nchi kama miezi kadhaa hivi huko nyuma. Cha kushangaza sasa hivi amepotea. Je amesafiri au ana...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Msanii wa kizazi kipya, Rayvanny aliyeshinda tuzo ya BET kipengele cha International Viewers Act 2017, atawasili nchini leo saa 8 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Leo ngoja niwe muwazi kabisaaa.. Nahreel wewe ni moja ya maproducer classic na wenye vipaji vikubwa sana hapa bongo. Tangu nilipoanza kuskia midundo yako kipindi unampigia joh makin miaka hiyo...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Kipindi wimbo huu unatoka takriban week moja iliyopita watu waliuponda sana na wengi kuanza kutabiri kuwa huu ndo muda mwafaka kwa bwana domo kushuka kimziki na dhihaka za kutosha....lakini cha...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Anybody watching this right now? This is about the only 'award' show that I really watch from beginning to end. Not so sure though about this year's host. I understand the need to switch things...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Nipo Naangalia vichekesho Azam Tv live, Kiukweli wachekeshaji wa Tanzania bado tupo nyuma sana aisee, ingawa wametangulia watangulizi, Bado kuchekesha sisi wabongo hatujaweza, ngoja tuone wale...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Kila la kheri bwana mdogo[emoji122] [emoji122] [emoji123]
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Congratulations @rayvvany to BETAwards17 Best International Viewers' Choice winner @rayvanny, Mwanangu umestahili kushinda maana hata walio shiriki kabla yako umechangia kwa kiasi kikubwa ktk...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili, Leo Nawaletea Furra Kubwa Nne Za Namna Unavyoweza Kugeuka Milionea Kupitia Beef La Diamond Na Alikiba, Ili Tunapoenda Kuanza Mwaka 2017 Tusiishie Tu Kubishana Na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nachukua nafasi hii kuwakumbusha watani zangu WAHAYA moja ya jambo mnalolipuuza huyu mwana mama msanii maarufu SAIDA KAROLI kwa namna moja au nyingine amewapandisha saana kwenye...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kumekucha wakuu, game ya hip hop bongo imekazaa sasa maana kila kukicha ni battle after battle hii ni battle ya pili sasa baada ya ile ya msanii wa twitter "wakazi" dhidi ya king from salasala...
1 Reactions
49 Replies
17K Views
Diamond baada ya kufukuzwa vevo amerudi kupost video zake kwenye account yake ya kawaida. Vevo wamemtimua. Wanataka wanamuziki wazuri wa kimataifa kama wizkid na davido. Pia hawataki msanii...
8 Reactions
43 Replies
8K Views
Leo ngoja niwe muwazi kabisaaa..<br /><br />Nahreel we moja ya maproducer classic na wenye vipaji vikubwa sana hapa bongo.<br />Tangu nilipoanza kuskia midundo yako kipindi unampigia joh makin...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Msanii gwiji Mond, Dangote, Chibu, D'billion na majina mengine kibao anayojiita je anakumbuka huku alikotoka. KIJANA YEYOTE KIJANA MWENZANGU TIA BIDII LOLOTE UNALOFANYA MUNGU ANAKUONA NA IPO SIKU...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
```Uchoyo ukifikia hapa bora kifo```, *mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,akaficha chakula chini ya kochi,* *mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.* *Mgeni...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Kiukweli mimi ni shabiki wa damu wa dokii tangu enzi na enzi ,ila kwa hili la sasa la kusaini kwa hawa watafuta kiki (Timamu Comedians ) aisee nimemshusha vyeo sana Dokii ana jina kubwa sana so...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Back
Top Bottom