Ile couple iliyotikisa sana mjini pande zote bara na visiwani kati ya wasanii wawili imevunjika, ikiwa ni siku moja toka jux akamatie degree yake huko uchinani la kupokea pongezi nyingi kutoka kwa...
ejaribu kufuatilia hili bifu kati ya msani wa Hip hop GodZilla kutokea sala sala dhidi ya msanii anayejiita wakazi
kiukweli nilichokibaini katika sakata hili ni kwamba huyu Wakazi anatafuta pa...
MWIMBAJI staa wa muziki wa asili nchini, Saida Karoli mwishoni mwa mwaka jana alirudi kwa kishindo kwenye ulimwengu Bongo Fleva, baada ya wasanii watatu kutumia vionjo vya nyimbo zake katika kazi...
Homa la pambano la Floyd Mayweather na Conor MCGregor inazidi kupamba moto na kwa sasa bei za tickets zimeshatangazwa tayali ambapo wale wapenzi wa Boxing nikiwemo mimi mwenyewe tumeshaanza...
Msanii toka WCB Rayvanny amepata nomination katika tuzo za BET awards 2017 katika kipengele cha Best International Viewers Choice Awards.
Rayvanny ndo msanii peke toka ukanda wa Afrika Mashariki...
Habar wanajamvi... Kijana kutoka Ntwara ajulikanae kama *Harmorapa* hit maker wa Nundu... Nimekuwa nikimfuatilia sana kupitia social media mbali*2 lakini nimekuja kugundua kuwa kinacho mpa jina...
LLP Feat MIKE DIAMONDIZ - Muziki: FIRE"
Diamond platnumz feat Tiwa Tiwa Savage - Muziki: FIRE.
Hitimisho: Diamond kakopi na kupaste Nina LA muziki kutoka kwa msanii mwingine.
Swali: wasanii...
Msanii Dully Skyes ambaye sasa anafanya vyema na ngoma yake 'Yono' amefunguka na kusema kuwa yeye alianza kufanya muziki wa bongo fleva ili awe mtu maarufu na kuanza kupata wanawake.
Msanii Dully...
Mwanamuziki Juma Jux ukipenda muite African Boy, leo amehitimu masomo yake nchini China ambapo ametunukiwa Shahada ya Awali (Bachelor Degree) katika masomo ya Sayansi ya Kompyuta (Computer...
Mwigizaji wa bongo Movie, Yusuph mlela ameendelea kusisitiza kwamba hana bifu lolote na mwimbaji Ney wa Mitego na kwamba aliamua kumchana kipindi kile kwa sababu aliingilia kazi zao bongo muvi...
Dar es Salaam. Mwanamitindo Jokate Mwegelo leo Ijumaa ametoa zawadi za Eid katika kituo cha yatima na wajane cha Ahbaabul Khairiya kilichopo Mwananyamala B, jijini Dar es Salaam.
Katika zawadi...
ADAM MCHOMVU NA KAULI YA KUMCHAFUA LADY JAYDEE FACEBOOK
Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu amejikuta kwenye wakati mgumu baada leo akaunti yake ya Facebook kuonesha imepost link yenye kichwa...
Msanii aliyekuwa ameathirika na madawa Chid Benz akiwa anahojiwa Clouds amemdiss meneja wa WCB Bab Tale kwenda kumtangaza ameshindikana na amerudia tena madawa
Amesema kama alimuona anafanya jambo...
Msanii wa vichekesho Anna Exavery a.k.a Ebitoke amefunguka na kusema yupo serious akimtaka Ben Paul awe mpenzi wake
Amedai ameanza kumzimia kitambo kabla hajawa maarufu ial hkuweza kuonana nae...
Huyu jamaa anajitahidi sana kujaribu jaribu juhudi za kujiinua tena.......
kwa hii ngoma aliotoa akiwa kamshirikisha Q chillah ni dhahiri jamaa hajachoka kujaribu.
ila daahh.......kwa sikio...
Habari zenu wana jamvi...
Kabla ya kuanza kueleza ni kwa nini nimeamua kuandika uzi huu,natoa angalizo(Sina team so tusitukanane)Hoja hujibiwa kwa hoja.
Niende direct kwenye mada,Binafsi nieona...
Kuhusu kuwa kimya kwa muda mrefu.
Majibu
'Nilikuwa nimekaa kimya kwasababu nilikuwa nataka wasanii wa lebel yangu na wenyewe waachie ngoma zao'-Diamond
Kuhusu picha aliyoiweka kwenye ukurasa...
Msanii Ney wa Mitego amedai kuna nyimbo atakayoiachia hivi karibuni ambayo itaudhi watu wengi japo kuna baadhi itawafurahisha,
nyimbo hiyo itakuwa na video kali ila hajasema ataifanyia wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.