Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Diamond alienda uingereza siku tatu zilizopita ahojiwa baada ya show yake amesema arudiana na Wema Sepetu. Na Jokate asema yake Kwa mujibu wa FB page yake Jokate amejibu issue yake na Wema kuhusu...
0 Reactions
22 Replies
19K Views
Baada ya kuingia katika ndoa yake ya pili pamoja na kuzindua albamu mpya Flora kapotea kabisa. Au ni laana ya Mtumishi Wa Mungu Mme wake Wa kwanza bwana Mbasha?
0 Reactions
19 Replies
5K Views
wa kitambo kile sambamba na yule bwana mpana mcheza sarakasi kabla ya kupigana alikuwa anaigiza nae kitambo kile Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye taarifa zake alikuwa akinivutia mno kwa naigizo ya...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Mtakumbuka kuwa Siku za hivi karibuni TID alijitokeza hadharani na kuuthibitishia umma kuwa ameachana na matumizi ya dawa za kelvya na kwa sababu hiyo ilibidi apatiwe msamaha kwani ilibidi...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Msanii wa muziki miondoko ya mduara nchini, AT amefunguka kwa kuwachana wasanii wa Tanzania kwa kudai wengi wao ni waongo, hawapendi kusema ukweli juu ya mambo yao yanayowasibu. AT ameeleza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond', walijikuta wakionesha upendo wao mbele za watu kwa kudendeka...
1 Reactions
95 Replies
27K Views
Wadau; Imefikia sasa wazazi kujifunza namna wanavyowalea watoto wao. Kufundisha maadili mema watoto wetu ni jambo la msingi Kwa kweli ni aibu kubwa kwa mzazi wa mtoto mwenye tabia hizi. Kazi...
1 Reactions
98 Replies
25K Views
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Inili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja...
0 Reactions
127 Replies
19K Views
Katika pita pita leo nikakutana na kauli ya Gadna G. Habashi meneja lkn pia mume wa mwamamuziki Jide aliyetoa wosia siku za karibuni kuhusiana na mtafaruku ulioko kati yake na Clouds Media,na hayo...
1 Reactions
43 Replies
11K Views
Tabata wamzomea Makamba *Ni wakazi waliovunjiwa nyumba zao *Amnyang'anya kipaza sauti mjumbe wa shina *Ni baada ya kupinga ushauri aliotoa kwa wakazi hao * Wakataa kuchukua viwanja mpaka...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Jay Moe ameeleza changamoto alizokumbana nazo shule hadi kupelekea kutoa albamu ya Ulimwengu Ndio Mama, licha ya hiyo kuna vitu ambavyo anajivunia ikiwemo kusoma shule moja...
2 Reactions
37 Replies
10K Views
Jana Ijumaa 9th june 2017 nilimuona msanii Mr Bluu akiwa mahakama ya wilaya ya Kinondoni analia baada ya kushushwa kwenye karandinga la polisi , pia nikaona watu nadhani ni ndugu zake wakiwa...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Hivi bongo ishawahi kutokea msanii kadondoka? Nimeikuta hii mahali...hebu tupia jicho. . Rihanna na Beyonce washakula mzinga sana Ethos
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wema aanzisha challenge ya kunyoa vipara hilo sio tatizo taizo ni pale wanapoanza kuweka mafumbo. Fumbo kwa wapenda ubuyu huwa linafumbuliwa mapema na kwa urahisi Kwa style hii bongo movie wana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dj fetty ametangaza kuachana na utangazaji na kuwa Mjasiriamali kuanzia leo ================== SURPRISE! Aliyekuwa mmoja wa watangazaji wa kipindi maarufu cha burudani XXL cha Clouds FM, Fatma...
4 Reactions
97 Replies
40K Views
hatimae alikiba atoa wimbo wake mpya, kamshirikisha cabo snoop...upate hapa.
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Nimetokea kuikubali sana hii ngoma.Ni ngoma flani ukiwa home na mchumba wako,girlfriend au hata mke mnasikiliza huku TARATIIIIBU unachezea nywele zake. Well done Mavoco
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ni wazi kuwa askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship FGBF askofu Zachary kakobe amekuwa akizunguka duniani kote kuhubiri injili ya Mungu kama Biblia isemavyo katika kitabu cha...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Ni wasanii wanaoweza kurap na kuimba...wameshaimba nyimbo zao,wamefnya chorus kwny nyimbo zikang'aa pia.baadhi ya hit single zao ni; GNAKO 1.Sichezi mbali 2.Headache 3.Juma ikangaa 4.original...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom