Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Haya haya....Hajawahi kuniangusha Diamond Platnumza kwa kila ngoma mpya ambayo huwa anaitoa! Pamoja na kuwa huwa zinapigwa vita sana lakini huendelea kutamba kadri siku zinavyo kwenda! Kama...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba Marcos Rene Maidana au Chino kama anavyojulikana na mashabiki wake ndiye bondia pekee aliyempa misuko suko ya kutosha unbeaten man Floyd Mayweather kiasi kwamba...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Nime jaribu kufuatilia uhalisia wa hili beef and who is real kuliko mwingine katika suala zima kla hiphop music and life style and free style Binafsi nimempa Wakazi ushindi katika ushindani huu...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Huyu jamaa alikuwa mgumu balaa. Ukiskia stereo unavuta taswira ya Swahili, hainangwasu, nawadabisha n.k. Kuingia WCB nafikiri kutamsukuma. Kama ni talent anayo promo kupitia WCB atazipata za...
21 Reactions
131 Replies
23K Views
Nimekutana na hii battle Agnes Masogange Vs Corazon Kwamboka. Wote ni watoto warembo Ila kura yangu na karata yangu naitupa kwa Agnes Masogange, Mtoto ni mrefu kaumbika wenye wana sema Amejaliwa...
2 Reactions
36 Replies
13K Views
Saida Karoli: Sijawahi kupokea fedha yoyote toka kwa wasanii waliorudia wimbo wa 'Chambua Kama Karanga".
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Soma kichwa cha habari hapo juu chausika then mchukulia hatua kali.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu. Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako...
45 Reactions
423 Replies
57K Views
The secret life of J Edgar Hoover For half a century, the FBI director waged war on homosexuals, black people and communists. Now, a controversial film by Clint Eastwood is set to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Gazeti la Mtanzania limeripoti kwamba Roma Mkatoliki amegeukia ualimu ambapo anafundisha hisabati katika Shule ya Msingi Mchikichini iliyopo Mbagala Rangi Tatu. Roma Mkatoliki ageukia walimu...
4 Reactions
60 Replies
23K Views
Mtangazaji wa kituo cha clouds fm na mchoraji nguli wa vibonzo nchini Ibrahimu Masoid maarufu Kama Masoid Kipanya..amesema kuwa watu wamekuwa wakitumia nguvu na akili nyingi kutafsri katuni zake...
5 Reactions
45 Replies
10K Views
Kwa wale,wapenzi wa muziki wa ukweli,Real Music watakuwa wanamfahamu Nguli huyu wa Rapper. Hasa wale Vijana wa 1990'S,the boy Made it world to be around kwa hits kalii. Though Modern hiphop...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau , kama mnakumbuka wakati ule SAIGON AKIWA ANAENDESHA KIPINDI KIPINDI CHA HIPHOP HAPO EATV, KUNA BITI YA GOMA LA NAS ESCOBAR, ALIKUA ANATUMIA KAMA SOUNDTRACK, NISAIDIENI JINA LA WIMBO WA ILE...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
May 2017 Documentary: Mwanzo wa KitimTim Choir na Rose Muhando Source: KitimTim Production Je waimbaji wa Kiroho au Kidunia na wasanii wengine wana mpango gani wa kutayarisha documentary zao...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Aliyekuwa Msanii nguli wa Taarab nchini Mzee Yusuph amesema kwa sasa maishayake yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki Baada ya kuacha muziki anadai alijaribu shughuli nyingine ikiwemo kufungua...
7 Reactions
128 Replies
25K Views
Beyonce Knowles and Jay-Z 'welcomed twins earlier this week' Ni nyakati za furaha kwa wapenzi/wanandoa Beyonce na J-Z baada ya kuwakaribisha mapacha wao wachanga kabisa mwishoni mwa wiki hii...
4 Reactions
43 Replies
11K Views
Wema anaojiwa sasa hivi na Gardner G Habash, anasema ni namna gani anammiss Diamond. "Unajuwa diamond ni mtu tuliyekaa nae miaka mingi sana hivyo kama binadam uwa natokea kummmiss sana"...
6 Reactions
164 Replies
35K Views
Katika kuonyesha jeuri ya fedha, mwanamuziki lady jaydee baada ya kununua mkoko wake mpya wa bei mbaya, sasa kaamua kuukarabati mgahawa wake kwa kubomoa mgahawa huo na kuamua kuutengeneza upya...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Quick Rocka 'Switcher' msanii anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya 'down' amewajibu wanaohoji mafanikio yake kuwa makubwa kuliko muziki kwa kusema siku zote mafanikio yana sauti...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Stori: WAANDISHI WETU HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Back
Top Bottom