Aman ya bwana iwe nanyi wakuu wa jukwaa letu pendwa
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Lameck ditto ni mshikaji wangu kitambo sana tena mimi namkubali sana kwakwel, lakin jamaa kajichanganya...
Mnaweza mkanikosoa tu wadau lakini nimekua na naendelea kufatilia kukua na kushuka kwa mziki wetu "BongoFlava" lakini pia nafatilia sana mziki kutoka "Nigeria" SouthAfrica" pamoja na huko "Mbele"...
Mwimbaji TID aka Mnyama kama anavyopenda kuitwa, ametishia kutinga katika kituo cha kati cha polisi jijini Dar es Salaam kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya Quick Rocka na kundi la OMG.
TID...
Nahitaji jibu huyu jamaa yuko wapi siku hizi maana hasikiki kabisa au tayari kapuni na vipi zile show zake za ugaibuni kaisha maliza
masikini kiba hasikiki tena so sad kweli
Hatimaye......Rayvanny Winning BET AWARDS 2017
.
.
Ila tujikumbushe kidogo....mnamo tarehe 9 June[emoji116] .
EAST AFRICA TV & RADIO watilia shaka uwepo wa @Rayvanny kwenye Tuzo za BET .
.
SHAKA...
Nawashauri Polisi endapo TID akija Polisi kuleta sijui malalamiko ya nini, awe kama kawarahisishia kazi ya kumkamata maana alidanganya kuwa kaacha matumizi ya dawa za kulevya wakati kwa sasa ndio...
Naomba nikiri kwamba me ni shabiki namba moja wa Diamond,Lakini dah! kiukweli kwa ule ukimya wa mda mref kutoka kwa diamond nilitegemea akirudi safari hii hatakua level zile tulizomzoea za kufanya...
BET has just announced Wizkid as Winner of the Best International Act – Africa Award in a special ceremony held in Los Angeles, beating off stiff competition from Davido, Mr Eazi, Tekno...
ALIKIBA - SITAKI MTU ANIINGILIE KATIKA MIPANGO YANGU, MIMI SISHINDANI NA MTU . . Mwanamuziki mahiri nchini Tanzania, Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye katika muziki wake hakuna mtu...
Akiongea na mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds , mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za utamaduni kutoka Kagera, amemlalamikia meneja wake kumsainisha mikataba mbalimbali ya kikazi ilhali alikuwa...
I heard this.
Back in the day, Jay used to be very tight with Dr Dre. Jay wanted "clearance to the West" (security), specially after having been dissed by the GOATPac Shakur who rep'd the West...
Katika kuadhimisha siku ya kina Baba Duniani,Leo Diamond akiwa nchini South Africa Ameamua kuwafanyia Watoto wa Zari wote watatu Shopping Ya nguo katika moja Ya Mall za Gharama South Afrika...
Mungu Mkubwa am great fan of this singer kama hajaweka Matabara she is real expecting Natamani apate mtoto and my little Girl is called Judith kwa sababu Mimi ni fan wake mno!
Wasomi wa...
Habarini wakuu
Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa...
Mnyama TID anadai alipwe miliion ishirin kabla hajawapeleka kuwalaza central Quick lock kwa wiz wa nyimbo yake aliyoiba ambayo mnyama anadai hapo awali hiyo nyimbo iliweza kubeba tuzo mbili habal...
Katika hali ya kushangaza leo mwanadada huyu mrembo ameamua kuweka hadharani hali halisi aliyokuwa nayo katika mahusiano na mniger Yommy kutoka Dubai. Mahusiano yalikuwa ya vipigo, mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.