Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ngoma za uyu dogo anazo achia bila shaka ,Dogo Aslay ni best Bongo flava artists
5 Reactions
39 Replies
8K Views
Hivi ukikutana na isha mashauzi utamshauri nini kuhusu kuvaa skini jeans
1 Reactions
46 Replies
16K Views
Aman iwe nanyi wapendwa bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Habali kamili Msanii wa kizazi kipya chidi benz sasa amedai hategemei mzik peke yake bali ameamua kujihusisha na kilimo kaz...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwanini magazeti ya udaku ya Shigongo siku hizi hayaandiki habari za Diamond? Kuna beef gani tena? Mbona Diamond anaandamwa na mabeef sana; huku EATV, huku Kiba, huku Davido? Tatizo ni nini hasa?
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Baraza la Sanaa nchini(BASATA) limesema kuwa Haliwezi kumpatia msanii Ray Vanny mapokezi ya heshima kwa kuwa hawana taarifa rasmi za ujio wake na hata alipoondoka hakuaga. Msanii huyo ameshinda...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
I know that ship sailed a minute and few hours ago, but a few sore souls keep fronting and melting. Jay-Z just dropped his 13th studio record...4.44 and the reception is ridiculous for a man his...
3 Reactions
104 Replies
9K Views
Habari wanaJF, Pentatonix ni kundi la muziki wa acapella (mara nyingine hufupishwa kama PTX) ni vijana walioshinda tuzo za Grammy mara mbili kama BEST ACAPELLA GROUP kutoka Marekani vijana hawa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
ZARI aandika hivi na kupost video matata... "Thought I'd share my private show with ma fans... that's how much I love you. Enjoy! Helllllll yeeeeaaaasss, Sunsets are better on roof tops Boo&Bae...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa...
44 Reactions
310 Replies
38K Views
Mnyamwezi wa mbeya Izzo bizness karudi kwenye misingi yake baada ya kupoteza radha yake ile tuliyomzoea sasa kaamua kweli kwa hili ngoma lake mpya kabisa "Rafiki" jamaa kamaliza kila kitu, na hii...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Huyu jamaa kampiga denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani. Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika. Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa."Kitendo husika si sehemu...
6 Reactions
102 Replies
13K Views
Hii ni kwa mujibu wangu mimi Student teacher na hakuna mtu anaye nipangia cha ku post. Kwa anayependa muziki mzuri wenye ladha nzuri kwa upande wa bongo fleva ataungana nami kuwa hii ndiyo list...
3 Reactions
26 Replies
12K Views
Msanii Diamond Platnumz amemaliza tofauti na baba yake mzazi na sasa anampa fedha za matumizi anapohitaji Mwanzoni msanii huyo alikuwa na bifu na mzazi wake huyo kwa sababu alimtelekeza alipokuwa...
4 Reactions
56 Replies
13K Views
Umofia kwenu wana JF, Ni siku nyingi sana sijamsikia christian bella kwenye anga za burudani au akifanya live interview kwa radio/TV,katika kufatilia nimeambiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Leo katika kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na post za kijana wa kiume ambazo zinamuhusu msanii Raymond wa wasafi,post za kijana huyo ni tata kiasi kwamba nilishindwa kufahamu kijana...
2 Reactions
122 Replies
22K Views
Aman iwe wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Habali kamili Msanii wa kizaz kipya wa bongo freva mwenye stail ya kufoka foka roma mkatoliki wa vatican amedai yeye siku...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Mpaka Vazi la Spika wanashonea uingereza!! Utumwa wa mawazo huu, washonaji wa kitanzania hawapo, na hizo pes zote hizo? Wakati huo huo, Bw. Sitta, aliwafahamisha wabunge kuwa jana alikuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kama hilo bichwa hapo juu linavosema sitaki nikwepesh kwepeshe maneno ni mda sas nimekuwa nikijiuliza juu ya wasanii wetu wa hapa tz katik mtandao wa instagram ni vigumu sana ukiweka comment kweny...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sisi wadau wa ROMA mkatoliki msanii wa Hip Hop tunatamani sana kusikia na kuona Ngoma mpya kutoka kwako. Kwa matukio yalivyo sasa naamini una mengi ya kuyazungumzia kwa Kuangalia uongozi wetu wa...
3 Reactions
47 Replies
13K Views
Back
Top Bottom