Hii Media House ni tishio sana kwa uwepo wa radio na tv nyingine.
Wamepiga promo kwa tv na radio yao tu na kuisimamisha mwanza. Hapa ndipo nguvu ya Media inapoonekana.
Ngoja niendelee kuruka na...
Wanajamvi,
Leo nimeona niwaletee tofauti ya wanamziki hawa wawili katika nyanja ya mziki. Tuanze na Jide (Lady Jay Dee) huyu ni mwananziki wa kike aliyeanzia kuimba kwaya huko kwao ambapo alipata...
Wasalaam JF!
Juzi tarehe 06/07/2017 nihudhuria show ya mwanamama saida karoli, napenda nikiri kwamba ilikuwa ni show ya kihistoria. Kwa kweli sio kitu cha kawaida kwa mwanamuziki aliyekaa benchi...
Pichani mbunge wa Mikumi, Professa J akiwa na rafiki yake kwenye send off ya mkewe tayari tayari kwa fungate hivi karibuni.
Pichani mke mtarajiwa wa professa, Bi Grace akiwa kwenye send off yake...
Mimi sio shabiki wa muziki wa kizazi kipya, iwe kutoka kwa Diamond, Ali Kiba au msanii mwingine yeyote wa rika lao, lakini kuna jambo limenivutia sana. Nikiwa ofisini, wadada wawili walikuwa...
They was boys, the tightest of them. Now they’re foes, y'all know the story. It just hit me other day that no one really survives a break-up with the man, they just fall off while he takes off...
Msanii rapa kutoka pande za mwanza mwanza godfrey tumain makoye DUDU BAYA amemuonya vikali msanii kutoka pande za mazense emmanuel eribalik NEY WA MITEGO kuwa aache mara moja kujilinganisha na...
Kwa burudani uliyotupa jana pale Escape One,nakushukuru na kukutakia kila la heri. Sauti yako,mapigo yako,historia yako na ukomavu wako ulitumaliza wahudhuriaji wako. Asante
Dada Saida,usituache...
Mkali wa Miondoko ya RNB Bongo Ben Pol ambaye yupo kwenye penzi zito la Mwanadada Mchekeshaji Ebitoke amesema kuwa wanaodhani kuwa mapenzi ya wawili hao ni kiki wasubiri kuona ndoa imefungwa...
Daaaa sijui nisemaje Lakini kati ya Wasanii ninao wakubari hapa Tanzania Basi Barnaba ni Namba Moja! Anaweza kuwa hana bahati na Biashara ya muziki,Lakini hicho hakinifanyi mimi nisitambue uwezo...
Hatimaye unabii wa Afande Sele juu ya Saida Karoli umetimia.
“Mimi nilijua Saida Karoli ni mwanamuziki bora wa kike Afrika, mimi nafahamu sio Tanzania.Saida Karoli yupo juu ya dada yangu Jide...
Jamaa anaonkana mbunifu!!baada ya kuhakiwa his 2m account jamaa kawaka tena Huyu komedian no shida...and he fluently speak English
He take usual post but caption anauga
Tz TNA vpaji sema vinazamia...
Instagram sio tena sehemu ya kupost picha pekee kwaajili ya kuuza sura kama zamani, mtandao huyo kwa sasa unawaingizia pesa nyingi baadhi ya mastaa duniani.
Staa wa soka Cristiano Ronaldo na...
Umuofia kwenu wakulu,
Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli na kumrudisha kwenye gemu ya muziki kwa kishindo,inasemakana lakini, E-Fm ya Dar nayo imepanga kumrudisha Mr. Nice!
Wengi husema na kulaumu kuwa eti hawa wanawake hutembea na wanaume wadogo mfano
Zarina na daimond
Wolper-harmonize
Wema-idris
Shilole-nuhu
Hawa wamewazidi wapenzi wao miaka mingi mfano zari...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Habali kamili
Msanii daz baba kutoka daz nundaz ambalo ni kundi lililopata kutamba hapo miaka ya nyuma amesema tofaut...
Aman iwe kwenu katika bwana wapendwa
Kama kichwa cha habali kilivyo hapo juu..
Kwanini wasanii wetu kwa sasa kila siku wanaachia ngoma mpya kuna huko mbelen wanajiandaa na nini yaan na kitu gan...
Dar es Salaam.Usaili wa kuwatafuta washiriki wa mashindano ya kumtafuta mrembo wa Miss Grand Tanzania utafanyika Julai 10, mwaka huu katika ukumbi wa Dar es salaam Convention Centre, jijini Dar es...
Baada ya ukimya wa muda mrefu tangu msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz atangaze ujio wa bidhaa zake za headphone ‘Chibu Beats’, msanii huyo ameelezea kinachochelewesha.
Muimbaji huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.