Aisee Africa sasa ukicheki video za nyimbo mpya aisee wadada ni wapo nusu uchi mwanzo mwisho hadi ukiona chart za afrika kwenye tv stesheni unatoa fasta. Zipo video nyingi ambazo hazijakaa poa...
Habari zenu wana JF,
Pamoja na wapenzi wote wa hili jukwaa la Celebrities Forum.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.
Baada ya Serikali kutangaza kuondoa kodi ya Road licence...
Mwanamke aliyezalishwa na Ney Wa Mitego kisha kutelekezwa ambaye ni maarufu kwa jina la Sister Fei amlillia Diamond Platnumz na jopo zima la Clouds media akiomba apewe msaada wa pesa ili...
8
Ndgu zangu wana Jf, nawasalimu kwa jina la *Tanzania ya viwanda*,hit maker wa muga cherere mr Qboy msafi hivi karibuni aliondoka na kuachana kabsa na kundi la WCB na kuanza kufanya zake nje ya...
Kwanza kabisa nakupongeza sana kaka kwa kazi nzuri sana, pia mimi nishabiki wako kwa kiwango cha lami.
Sasa najiuliza kwanini umeachia video tatu kwa wakati mmoja( Fire, I miss you na Eneka) zote...
Rob analalamika kua chyna hajatulia na kila mara analala na wanaume tofauti. Hebu jionee hapa sijui ni kiki watajua wao.
So Rob anamwaga maubuyu tu kwenye akaunt yake. Mengine jisomeeni...
Hi guys,
Bcoz of unknown reasons mm nahis Ben pol kama vile hayupo comfortable ku-date na ebitoke sababu nikiangalia body language ya benpol haiakisi kufuraishwa na uhusiano wake na ebitoke...
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka hakuna ubishi kabisa moja ya vyombo vya habari ambavyo vimekuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha muziki na tasnia ya muziki wa kizazi kipya hatuwezi kivisahau...
Msanii Richard Mavoko kutoka label ya WCB ambaye pia ni hit maker wa ngoma ya Show me anaonekana hana furaha kabisa kuwepo ndani ya label hiyo sema ndo vile tu hana jinsi kwa kuwa WCB imemletea...
MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa EFM Radio ya jijini Dar es Salaam, Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma (31) unaagwa leo katika Viwanja vya Leaders vilivyopo Kinondoni, Dar ambapo baadaye...
In Summary
For the past 5 years most Tanzanian artists, like other artists worldwide, have used YouTube as a platform to distribute their music.
YouTube is the largest video-sharing site where...
Wambeya wanasema kuwa urafiki baina ya Ali Kiba na Barakah The Prince unadidimia kwasababu ya bifu kati ya Baraka na Ommy Dimpoz.
Inasemekana kuwa ukaribu wa Dimpoz na Ali Kiba umechangia...
WanaJF: Kufuatia muonekano wa picha
hapo chini nataka kujuwa kama huyu bwana mdogo Kesha badilisha Dini au ni mihemuko tu ya ujana ....???
Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
Ningesema walichonifanyia nilivyotekwa, hakuna mtu ambaye angetaka kuwa karibu na mimi tena.-Roma
Katoa kauli hii akihojiwa na EATV,Wataalamu ebu ongezeeni nyama hiyo kauli ya Roma"Tafakuri"
Katika Wimbo wake kila mara nimesikia akitaja ' mafanikio ' mengi ya Mwanaume ila kila mara anasisitiza tu kuwa Mwanaume ' Mashine '. Sisi wengine ni ' Wageni ' katika nchi hii na hatukijui vizuri...
Ni wiki sasa tangia nianze kuifatilia hii chanel ya tv E ilopo dstv....naona ni mpya mana kila time wanaplay music ila kinachonshangaza mimi ni kuwa sijawaiona ata siku moja nyimbo yoyote ile ya...
Msanii mkali anayetamba na hit song mbali mbali kama nyonga nyonga chin bees amemujibu mkali wa ilala chid benz kuwa aache kumufata fata na kumufatilia na ajali maisha yake mwenyewe
Chin bees...
Ziara ya wasanii wa filamu imeleta gumzo mjini hapa palemabinti wa filamu walipokuwa na muda mwingi kuwaliwaza wenyeji wao wabunge hasa baada ya mpambano mkali wamechi katiya wabunge na wasaanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.