Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Si muda mrefu uliopita mwanamuziki nyota wa Marekani wa miondoko ya R&B, Usher Raymond, alifunguliwa mashitaka ya kumuweka kwenye hali/ mazingira hatarishi ya kumwambukiza gonjwa la zinaa...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Mrembo Hamisa Mobetto ajifungua mtoto wa kiume. Hii picha alipiga kipindi cha ujauzito[emoji116] Hii ndio picha ya mtoto aliejifungua[emoji116] Nb: Hongera zake kwa kupata mtoto na kama hizi...
5 Reactions
39 Replies
13K Views
Wacheza filamu wa Marekani Chris Pratt na Anna Faris wametangaza kuwa watatengana baada ya miaka minane ya ndoa, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyosambazwa kwenye mitandao. Wawili hao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni msanii yupi Wa bongo tunayeweza kusema ameweka maisha yake ya usanii(kazi) mbali na maisha yake ya familia(mapenzi).Licha na kwamba ni maarufu , wameoa watu maarufu wanaishi private life...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu...
6 Reactions
69 Replies
8K Views
Ningependa kujua machache juu ya huyu mwanamama wa miaka dahali kwenye fani ya habari, miaka nenda rudi nimemsikia akifanya sanaa zake kwenye spika za redio,ni nani huyu? Anatoka nchi gani? Na je...
3 Reactions
130 Replies
52K Views
Kichwa cha habari chahusika, Source: Clouds TV
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mwanadada Jokate Mwegelo kutoka Tanzania amekutana na Nguli wa Soka Thierry Henry ambae ni Mchezaji wa Zamani wa Arsenal. Wawili hao wamekutana nchini Afrika Kusini katika NBA African Game 2017...
7 Reactions
63 Replies
15K Views
Msanii mkongwe wa muziki nchini Tanzania Mr. Nice ameibuka na kusema kuwa hana maradhi ya UKIMWI kama wengi walivyokuwa wanamzushia ila kilichomsumbua mpaka kufikia kulazwa mahututi hospitali ni...
8 Reactions
161 Replies
35K Views
Na Zawadi B Lupelo Wanajamvi salamu mbele! Nimeona katika mtandao wa YouTube kile kinachoitwa kupatanishwa kwa Makonda na Ruge na mpatanishaji akiwa ni Rais John Pombe Magufuli. Naomba niweke...
15 Reactions
59 Replies
9K Views
kutokana na na kwamba tayari amesharipoti katika mamlaka husika juu ya kutishiwa usalama wake hata kabla kampeni zake hazijaanza, ni dhahiri sasa mtu huyu atalazimika kupewa ulinzi mkali katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wimbo murua Sema Msitari unaosema Hata uwe na Mashine Kama Punda ni bora zaidi.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani jamani Peter Msechu awa kituko yaani amenenepa nusu kupasukiana halafu anaimba kwenye mic anashindwa kupumua unaweza ukasikia kabisa anavyokosa pumzi hadi anapumua Kama katoka kukimbia mbio...
10 Reactions
139 Replies
21K Views
Wadau nimekuwa nafuatilia historia za maisha ya WASANII wetu Wa Bongo.Idadi kubwa ya hao WASANII ukisikia historia za maisha yao utaisikia Baba alinitelekeza nikalelewa na mama Kwa shida...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanamuziki AY na FA wamedai kiasi cha fedha bilioni 2.1 mahakama iliyoamuru Tigo iwalipe ni hela za kawaida kwao kwa sababu wameshakamata hela kama hizo mara nyingi Wamesema wao wametoa kama...
6 Reactions
65 Replies
8K Views
Peter Msechu ndiye Mwanamziki wenye uzito mkubwa, yeye wenyewe anaonekana kufulaishwa na umbo lake (BIG), Sasa msanii huyo ameandamwa na watu kuwa afanye mazoezi makali ili apungue na yeye kusema...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
NI kwamba asilimia kubwa yawanawake hawapendi hera kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyimbo nzuri kuanzia melody, mashairi na beat......toka jana usiku naiskiliza tu haichoshi, nimeweka REPLAY. Inaitwa "naogopa"
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu binti dada yake na msanii Kiba kiukweli anamwonekano bomba na anatupia sana mavazi ya kujistiri pia sijawahi sikia ana skendo za ajabu ajabu kama zile za dada zake na msanii wa upande wa pili...
9 Reactions
73 Replies
19K Views
Back
Top Bottom