Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huyu dada alikuwa anatangaza redio uhuru kipindi cha bongo fleva pamoja na sebastian maganga.Na usiku kulikuwa kuna kipindi alikuwa anakiendesha bahati mbaya sikumbuki jina la kile kipindi ...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Baada ya mda mrefu kuibuka maneno ya chini chini kuwa Mtoto aliyejifungua Hamissa mobeto ni wa Diamond Platnumz huku Mama Diamond na Diamond mwenyewe wakishindwa kukana tuhuma hizo Siku ya jana...
3 Reactions
73 Replies
19K Views
Wale watu wazima wenzagu, enzi hizo hakuna cha "Isidingo The Need" wala sijui Tamthilia za Kifilipino. Ilikuwa ni "mikanda" ya ngumi na ile ya kivita. Vurumai za makomandoo na vita vya Wavietnam...
33 Reactions
218 Replies
66K Views
bila ubishi taarifa ya habari ya kituo cha itv ya saa 2 usiku kila siku ndio inayoongoza kwa kuwa na watazamaji wengi hapa nchini kuliko ya vituo vingine vya televison, sasa je ni reporter gani...
7 Reactions
126 Replies
58K Views
Wote ni wakali ila ni Nani mkali zaidi hapa hapa kati ya Rayvanny na dogo Asley, hapa chini mlinganisho wa hits zao Rayvanny 1. Kwetu 2. Natafuta kiki 3.Zezeta 4.Mbeleko 5.Chuma ulete Asley 1...
2 Reactions
42 Replies
13K Views
Jeshi la polisi Mkoa wa Ilala, limewakamata watu saba akiwemo msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine...
5 Reactions
143 Replies
19K Views
Eti huyu Kaka ameoa wakuu ,,,nauliza tu maana wanaume wa humu huwa hampendi hizi story Ni kwamba anavutia nna mdogo wangu ningependa awe nae
4 Reactions
105 Replies
18K Views
video nimeiona leo nahisi inaitwa #unaanzaje nimejaribu kutafuta YouTube sijauona nahisi hawajauplod bado wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
26 Replies
7K Views
My take: Kama Lissu atafanikiwa kuishawishi Mahakama kutopokea ushahidi huo kwa hoja alizozitoa Mahakamani siku ya jana,basi hii itakuwa ni historia na pigo kuwa kwa walioteta huo ushahidi...
1 Reactions
121 Replies
13K Views
Wakuu habar, Kama kichwa cha habar kinavyoeleza,huyu jamaa amekuwa akitaka kwa nguvu ulimwengu ujue kuwa yeye ni SHADY, Swali langu ni je..? jamaa anataka kutufahamisha kuwa amekuja kivingine...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Nimekuwa siku hizi nikivutiwa mno kila nimwonapo Mtangazaji mahiri na mwenye mvuto wa aina yake na uliotukuka kabisa Zamaradi Mketema akiwa ana mwili ulioshiba na ulionenepa vizuri kiasi kwamba...
1 Reactions
69 Replies
15K Views
Wakuu! Huyu jamaa alikuwa akiendesha kipindi cha Reggae pale East Africa Radio na baadae EATV pia. Naomba kujua ni Mtanzania au ni raia wa nchi gani? Na bado anaendelea na kazi yake? Binafsi...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Sudi na huyo mbea mwezio wa kiume mmefikia hatua mbaya ya kushindwa kutunza heshima za watu. Kipindi chenu cha tar 14th/07/2017 hakikuwa cha kistaarabu pale ambapo mlifika KIBONA HOTEL na...
39 Reactions
119 Replies
18K Views
Nani kamfunika mwenzake ? ...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Mtangazaji na muigizaji Ellen De Generes anaefahamika kwa kuhost show ya the ellen show amesherekea kwa kutimiza miaka tisa ya ndoa yake aliofunga na mwanamke mwenzake muigizaji wa zamani Portia...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja)kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally. Picha hapo chini[emoji116]...
4 Reactions
184 Replies
17K Views
Huyu Diamond huyu sidhani kama ana dalili ya kushuka, simuongelei kiushabiki ila trust me, I wish mngepata nafasi ya kuusikiliza wimbo wake mpya aliorecord na Patoranking ebhana usipime! Yani huu...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Unaemtaka humpati na utampata wapi/anaekutaka haumtaki na humpi nafasi.. Ulimi mbili ni ngoma kubwa Sana. Fid kayachambua mapenzi balaa.
4 Reactions
36 Replies
8K Views
Mi ni mtu mzima ila nafuatilia mziki wa vijana tena vijana kweli , yaani wale wenye umri mdogo lakini wanafanya vema katika gemu kama niliowataja hapo juu ns hakuna aliefikisha miaka 25. Sasa leo...
0 Reactions
45 Replies
36K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…