Huu Uzi maalumu hususani kwa muziki wa Kizazi Kipya "Bongo Flava" wasanii/wanamuziki waliopotea katika ramani ya muziki huo
Unaweza kuongezea na nyimbo zao pia
Naanza na wafuatao
-Bodea...
Anaitwa AMBWENE YESSAYA AKA AY ni mmoja wa wasanii ambaye ana mafanikio makubwa sana kimuziki kuliko msanii yeyote yule hapa nchini Tanzania, vile vile yeye ndiye msanii wa kwanza Tanzania...
Naomba tujadili uhusiano Wa hivi vitu viwili, Diamond kutumia kiki mfu ili arudi kwenye chati na Na kufulia kwake ambako kunapelekea ajaribu kila vituko ili tu azidi kuandikwa au kesemwa ingawa...
Katika Taifa Masikini Kama Tanzania Mkuu wa Wilaya Kama Kasesela anafurahi Kujipiga Picha na Kupost Kuwa yeye Ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors Kila Mtu anajua Gharama za Kuangalia...
Hii ndio hali iliyopo instagram,!!
diamond anasema ndio maaana ana hit and run!!
kwamba akina dada hawathaminiki!
Inaonekana zari amecheat na uyo mjamaaa aliyebambia msambwanda wake kwenye...
Haka ka ebitoke sikapendi siku hizi kwelli yani
Sanaa imemshinda kazi kutukana wanawake wenzake na kujiona yeye ndio yeye
Huyu kila kukicha anawatukana wanawake wenzake kisa tu hawako bikra...
Nashangaa kuona wasanii wote wanaimba key moja mwisho wa siku haitambuliki huyu ni nani sababu wanaigana kama wataendelea hivi watachokwa hakuna anayetaka kubadika.
Baada yakuja huyo Lava Lava...
Nchi yetu imejaliwa vipaji vingi mno sema vinapotea kutokana na kutokua na mikakati iliyothabiti, tizama mwenyewe af angalia mazingira ya hichi kipaji.
Mmoja wa wanaounda kundi la shilawadu Kwisa,ameulizwa inakuwaje wao ni wanaume halafu wafanya umbea?
Jamaa alichojibu ni kuwa wangefanya wanawake kipindi kisingenoga, kingeonekana cha kawaida ila...
Kabla zari hajawa na mondi wema alikuwa na followers wengi mara kumi zaidi ya zari. Baada ya zari kuwa na mondi zari na wema walikuwa na follower wakikaribiana huku wema akiongoza. But now kwa mda...
Rapper Wiz Khalifa amegeuka daktari kwa
kumshauri Kanye West akitaka apone kuna dawa
rahisi anatakiwa aitumie. Akiongea na mtandao wa TMZ Jumatatu hii,
hitmaker huyo wa See You Again amemwambia...
Msanii wa bongomovie Irene Uwoya amedai wasanii wa Bongo movie hawana hela na vitu na maisha wanayoonekana wanayo ni vya kuazima na sio vya kwao
Amedai inabidi waazima kwa kuwa ni maarufu na...
Welcome to Bongo Bahati Mbaya where
1. You can win couple with best chemistry award even 3 times with 3 different chics at different times
2. Millionaires come from Arusha..You just need a car and...
Msanii Gigy money balaa lake la kukata mauno EATV ni hatari sana, queen mwenye confidence ya ajabu anasifika zaidi kwa kuvaa mavazi yenye utata na muonekano wa ukweli haya kwa wasanii wenzake.
Big...
Amesema vyombo vya band yake vya awali alivinunua kwa shilingi milioni 18 lakini kwa sasa hana uwezo. Hivyo anamuomba mtu yeyote mwenye mapenzi mema ikiwemo serikali waweze kumsaidia.
Amesema...
leo kulikuwa na fainali ya sport pesa cup na mechi ya utangulizi ilikuwa kati ya bongo fleva na bongo movie
Duh mbona wabongo hata hawaiongelei kabisa? nini shida ya kuwachoka hawa jamaa???maana...
Ameshasemwa sana kwa ubaya ameshaandikwa sana kwa ubaya ameshakuwa na kashfa nyingi...ni wakati sasa wa kumwangalia kwa jicho la tatu.
Hatuwezi kumweka kwenye kundi la malaika wa kifo kwakuwa...
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai anaomba Mungu kila kukicha mpenzi mpya mzungu ajifungue mtoto mwenye rangi nyeupe kama mama yake.
Muimbaji huyo hivi karibuni aliweka wazi ishu za...
Msanii kutoka 'Green City' akiwakilisha kundi la The Amaizing, Izzo Bizness amedai hawezi kulala njaa kusubiri simu za promota kwa ajili ya show kwani kipaji anacho ndio maana anajiongeza zaidi...