Tarehe SIKU kama KESHO 12th june miaka takribani hamsini na minne iliyopita dunia ilipata bahati ya kupokea mwili na roho hai ya mtumishi wa mungu KULE nchi moja ya Afrika magharibi
ENDELEA...
Upigaji kura ushaanza rasmi Tuzo za BETAWARDA-2017.
Mpigie kura Rayvanny kama "International Viewer's Choice Awards' 2017.
JINSI YA KUPIGA KURA KWA MSHIRIKI.
Kazi ni moja tu unapost picha ya...
Huyu jamaa naona keshashindikana....hizi mbio nilijua atachemka alianza vibaya sana lakini hapo kati kawakata wenzake kama walikua wamesimama. HATARI SANA.
Baada ya msiba zari ameonekana akipost yupo kwenye mjengo wao wa SA na familia yake yote, Mungu awape nguvu machungu ya msiba yapite aanze kupambana kuijenga familia yake.
diamond safi sana kwa...
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwana hiphop tajiri duniani. Mc mwenye package iliyokamilika ya hiphop.
Huyu ni mmoja kati ya wasanii wa hiphop waliofanya niipende sana hiphop na muziki wa rap kwa...
Kwa muda mrefu kumekua na mijadala ikiendelea mitaaani, watu wengi wakilinganisha magwiji wawili wa musik wa bongo flava, kila mtu amekua na lake la kusema. ukweli ni kwamba nimefanya tafiti...
Habari wakuu,
Tangu huu wimbo umetoka umekua ukipata airtime ya kuvente na ni ngoma ambayo ni nzuri kwa kuisikiliza. What caught my attention ni pale mwishoni mavoko anapoimba 'wanangu wa panya...
Zile kiki za Hamorapa zimepotea
Ule umaarufu uliokuwa unakuja kwa kasi umekufa kifo cha mende
Muda si mrefu atarudi kwenye kazi yake ya kuzungusha urembo mitaani
Niaje watu wa ukweli wapenda music uwe wa rap au rnb au music wowote ule
Huyu jamaa sasa kaamua kuja kwa namna tofaut na ile ya mwanzo na aina hii ya mziki inahatalisha sana soko la yule jamaa...
Label ya sony imekuwa ikilalamikiwa jinsi inavyotreat wasanii mbalimbali wanaotokea Africa, pia imekuwa ikihusishwa na uuaji wa vipaji vingi barani hapa
Baada ya mwaka jana, Msanii Davido...
Ni vigumu msanii aliyepotea kwenye game kurejea kwa kishindo kile kile. Hii ipo ata kwenye msemo wa kiingeereza – “Golden Chance Never Comes Twice,” – yaani bahati haijirudii mara mbili.
Hata...
Kwa story za kunyapia nyapia zinadai kuwa harmonize na wolper gambe washabwagana na kila mtu kachukua 50 zake na kwa ubuyu unaosambaa mjini unadai kuwa Dogo kapata mtt mkaliii wa kitaliano...
Mapenzi kati ya mastaa na mastaa hua inakua na mwisho mbaya hasa kwa wabongo.
wengi wanaishi kikiki na kupendana kikiki. Wanasahau mapenzi ni baina ya watu wawili na kutunziana siri. Tazama...
Jamani habari ya kwenu natumai ni wazima, dah nimekuwa nikisikiliza nyimbo za huyu dada Saida Karoli nikashikwa na hamu ya kujua alipo na je ameacha mziki? naona kama bado taifa tunahitaji wasanii...
Steve kakanusha kuhusika na uigizaji wa sauti za mtongozo zilizovuma baina ya watu wanaodaiwa kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mrembo Wema Sepetu wa Bongo Movie..
“Kwanza mimi toka...
Yaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena
Mashabiki walivunjika moyo mno kiasi kwamba wengi wakaanza kupoteza mood kbs
Huyu isha mashauzi naye hana jipya...