Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwenye ukurasa wake wa Fb, Emmanuel Mbasha amemtakia heri mkewe wa zamani Flora, kwa kuandika "Happy Birthday Mrs Daud Kusekwa" Watu wa karibu wa Emmanuel Mbasha wanasema amekuwa na msongo wa...
4 Reactions
97 Replies
14K Views
  • Closed
Hii ni kama Tetesi ndio maana nimeweka jukwaa hili. Kuna mambo mengi sana ya muhimu ila yanaondolewa kwenye mstari na vitu kama hivi Sasa namtafuta aliyeigiza sauti ya KUB Nitaendelea kuwajuza...
10 Reactions
232 Replies
28K Views
Staa wa Hiphop Tanzania FidQ Leo Amewafungukia Baadhi ya watu wanaolalamikia kuwa mwanasoka wa Uingereza David Beckham kupost picha Akiwa Tanzania bila ya Kuandika IG kwa watu wake.. Kuwa yupo...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Dogo aliyekuwa akiunda kundi hilo Beka amedai Mkubwa Fella kuingia kwenye siasa kumechangia kuishusha Yamoto Band kwa kuwa alikuwa busy na shughuli za serikali zaidi, pia amesema walikuwa...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Hebu mwenye namba ya huyu dada anisaidie. Nimejaribu kuziba hisia zangu najidanganya, nampenda Rose Ndauka mpaka nakufwaz. Wanasema age is just a number. Waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata...
4 Reactions
96 Replies
40K Views
Chanzo chetu ambacho ni makini kilipenyeza kuwa, katika tukio hilo la hivi karibuni, staa huyo alikuwa hafahamiani na mwanaume huyo, lakini kuna kijana mmoja ambaye mara nyingi anawakuwadia mastaa...
6 Reactions
70 Replies
24K Views
Watanzania kwa unafiki tu hatujambo, sishangai ndio maana hatuendelei. Leo nimeshangaa sana baada ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii nakuta watu wengi wakilia na kuonyesha kuumia sana na kifo...
28 Reactions
119 Replies
16K Views
Japo mwenyewe Mghaibuni Mpinzani kila uchao anaonekana ni Mtu mjivuni huku kila mara akijinadi kuwa sijui ana Masters Degree na kwamba ameishi huko Marekani muda mrefu na kwamba ana maisha mazuri...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni shabiki nguli wa Sir Nature mkali wa rap katuni. Pia naamini wengi watakubaliana na mimi kuwa mwamba huyu alinyanyasa sana kwa nyimbo zake karibu zote za miaka ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakika uwezo wa Bellenine ni wa juu sana. Kijana hana skendo wala mbwembwe ila muziki wake na talent yake ndio inambeba. Wcb wametoa nyimbo mia maskendo na promo. Benpol kajianika utupu wake...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Nyie teams mbili mnaowashabikia hawa wasanii wa Tanzania mnapaswa kuwajenga na si kuwabomoa... Nimeona posts nyingi za members wa timu hizi wakijitahidi kuwabomoa na kuwaharibia sifa wasanii wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Mnajua mtu unapoamka unawakumbuka ndugu jamaa na marafiki ili kujua wanaendeleaje, kwa zama za sasa tunakutanishwa sana na mitandao ya kijamii km watsap nk. Siku za hivi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama umekulia vijijini kama mimi hasa vijiji vilivyo mikoa ya nyanda za juu kusini basi huwezi acha kumjua huyu dada maarufu kwa nyimbo zake maaraufu kama nyimbo za "ntombi" au "funk 36" kwani...
2 Reactions
19 Replies
12K Views
Here he is dancing to Future's 'Mask off', my fave joint at the moment followed by T-shirt [Migos] and Both [Gucci Mane feat Drake]. I've gotta admit...he kilt it. The boy can bend in all kinds...
4 Reactions
65 Replies
8K Views
Staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa katika Mahakama ya Kisutu leo. Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na wenzake wawili...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Miss Kagera mwaka 1999, Miss Bridgitte Buyuya alifariki dunia siku ya tarehe 26/05/2017 na kuzikwa siku ya leo tarehe 30/05/2017 katika makaburi ya Bunena, Manispaa ya Bukoba. Marehemu alizaliwa...
2 Reactions
49 Replies
9K Views
waungwana hii nguo ya zamaradi ni suruali au Sketi kwenye 360 maana imekakaa kama gauni sipati picha au ndo style Mpya mjini[emoji5] [emoji5] [emoji5]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msanii Young Killer ambaye siku za karibuni ameachia wimbo wake mpya akiwa na Mr Blue amefunguka na kusema kuwa ikitokea Chief Kiumbe amempa gari hawezi kukata sababu hakuna mtu ambaye anapenda...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom