Kweli mjini mipango!
Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amefunguka kwa kusema kuwa baada ya kusambaza mtandaoni picha zinazomuonyesha akiwa nusu mtupu na mng’ao wa mafuta, sasa amepata dili ya kuwa...
Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Weusi, Nikki Wa Pili amefunguka kuzungumzia changamoto zilizopo katika platform mbalimbli za kuuza muziki nchini.
Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo...
Tanzania ukiwatizama mastaa wetu [Celebrities] unagundua wengi wana vipaji vikubwa sana ila wamekosa maarifa na adabu ya utashi .
Mastaa wetu wanawekeza zaidi kwenye muonekano na kutengeneza...
Ndani ya miaka 5 she has done so much more than any celebrity in Tanzania kwenye jamii.
Naomba nihamishie upepo kwake kwa shukrani zote kwa yote aliyoyafanya kuinyanyua jamii ya watanzania na...
Baada ya maziko siku ya Jumanne nchini UGANDA ya aliyekuwa mume wa Zari.
Mwanamama huyu ataanza kazi rasmi ya kusimamia na kuendeleleza vyuo na shule zilizoachwa na Ivan.
Kaka wa Ivan na aliekuwa...
Ni msanii wa RnB ambaye huwa namuita mchawi wa Melodies na chorus...mm ni shabiki yako wa mstari wa mbele ambaye napenda kukushauri na kukujenga bila kuchoka...usipozingatia haya kima kinakuja...
Washkaji zangu wawili wa maskani wanafuatilia kupata passport ili wajichanganye bondeni kwa Madiba kwenda 'kuchukua maisha'. Leo wakadondosha apdeiti maskani kuwa ni mwezi mzima sasa wanazebezwa...
Amewaponda wasichana wasio wasanii wanaovaa nusu uchi na kutupia picha zao mtandaoni, Kasema mtu hakatazwi kuvaa uchi ila inategemea unaenda wapi, mfano kwenye harusi unavaa nguo fupi ili iweje?
Tiger Woods has been arrested on DUI charges in Jupiter, Florida.
The golfer was stopped by cops early Monday morning for driving under the influence of alcohol or drugs. He was taken in around 3...
Kabla ya kifo chake Ivan THE DON alikuwa na utajiri wa hatari pamoja na kumiliki majumba ya kifahari na magari ya bei kubwa sana.
Akiwa bado hai alisaidia watu wenye shida kwa kuwapa Fedha na vitu...
"Toka aliyekuwa mume wa Zari kufariki, familia ya Ivan imeingia kwenye vita kali na Zari baada ya kusema kuwa yeye ndio amesababisha ndugu yao akaishi kwa depression kwa muda wote huo.
Tazama...
Mwanamuziki Diamond amesema angependa mwanae Nillan awe msanii ila hatapenda mwanae Tiffa awe msanii kwa kuwa wasanii wa kike wamekuwa wakiliwa sana
Amesema pia yeye amepita na wanawake wengi...
Hii ndio kazi mpya ya Benpol aliyokuwa anaitangaza kupitia picha za utupu wake. Anasema ile ni sanaa alikuwa anajaribu kuipa uhalisia.
Vipi amefaulu au amefeli?
Kiukweli naomba mwenye info za kutosha za huyu jamaa atuambie anapiga ishu gani za kuingiza kiasi hicho? Mana sio kwa mabulungutu hayo.
Nakumbuka juzi kati mr diamond(nlikuja kuamini ni zari...
Amitabh Bacchan says..."At the peak of my career, I was once traveling by plane. The passenger next to me was elderly gentleman dressed in a simple shirt and pants. He appeared to be middle class...
BRIGITTE TROGNEUX
Ana umri wa 64 na mume ana 39! walioana 2007! na inajulikana mwanamama aliwahi kuwa mwalimu wa Pres. Macron.
ALIOLEWA NA BANKER WAKATALIKIANA...
Aliolewa na mfanyakazi wa...
-Mmoja wa wataalamu wa Sales ,PR na Marketing hapa Tanzania.
-Jamaa ana kipaji pia cha U-Dj
Alianza kung'ara wakati yupo Tigo,halafu akaenda Airtel kabla ya mara ya mwisho kumsikia Vodacom wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.