Diamond Platnumz anatarajia kuhudhuria mazishi ya Ivan Semwanga, mume wa zamani wa Zari Hassan, aliyezaa naye watoto watatu wa kiume. Diamond amesema mpenzi wake huyo ambaye wana watoto wawili...
Ni mambo ya ajabu afisa usalama wa taifa anajiingiza kwenye ugomvi wa madada yalioshindikana ya mjini kama Mange na Sinta.Huyu afisa kaabisha kazi ambayo ni nyeti.
Afisa gani wa usalama...
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete jana usiku amekutana na nahodha wa Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta huko Ubelgiji alikoenda kwa ajili...
UTATA BAINA YA NASH EMCEE & FID Q
Miaka kadhaa iliyopita FID Q alikua akiwaalika wasanii wanaorap hasa wale ma emcee kutoka katika utamaduni wa HipHop katika kipindi chake cha Fidstyle Friday...
Nioanavyo... Kifo cha Ivan Semwanga Kimetokana na Zari..Ushahidi Huu Hapa..!!!
Udaku Special 2017-05-26
Nasema haya kutokana na sababu nitakazo zihainisha hapa chini ila ukweli kifo cha Ivan...
Msanii wa Bongo movie amedai yeye hana Chama ila anamkubali Lowassa na alikuwa akimkubali tokea akiwa CCM na 2020 atamsapoti tena.
Amesema yeye hakua Chadema na wala sio CCM
Unaambiwa Zari anasema yeye bado ni mke wa Ivan unaambiwa mpaka anasema huyu mtoto wa mwisho Nillah ni wa Ivan huko kwenye vikao vya familia…Lakini to be fair Zari ana haki ya kupewa mali za wanae...
Nimesikiliza ile ngoma mpya aliyo-produce ni Kali
Inaitwa WAPE ameimba BONGOLOS ft ASTERI.....karibu muicheki youtube ni ngoma kali.gitaa kapiga MZUNGU KICHAA
Hapo awali Zari alikuwa anaishi South Africa akijifanya kwamba kule kuna kazi zake
Ukweli South kulikuwa kunatumika tu ndio njia ya mchepuko na kukutana na ivan enzi za uhai wake kwani muda...
Habari za Ijumaa nduguz
Kuna huyu jamaa alikuwa anatangaza Kipindi cha watoto wetu cha ITV miaka hiyo ya 90's hadi 2000's. Kuna kipindi tulimuona kwenye magazeti akiwa kavalia nguo za kirubani bt...
By BigEyeUG Team
It all started when a Newspaper advert ran showing that Ivan Ssemwanga’s house was up for sale. Then, an egoistic, charming and ever lively Ivan Ssemwanga flew to Uganda from...
aman iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili nina mpambano hapa nataka tumalize ubishi
kati ya hawa marapa wakali chipukizi
coyo mc ana ngoma kama njoo badae na ziwafikie
na huyu mzee wa kulalamika...
ni kutoka Shilawadu ....yasemekana walichukua gari hilo na kwenda kupiga nalo misele, gari hilo kuonekana mahali flani ikaleta maneno kuwa zari ndio alikuwa viwanja hivyo na mfanyabiashara flani hivi,
Boss wa richgang maarufu kama Ivandon amelazwa hospital huko afrika kusini baada ya kupata heart attack. Huyu ni aliyekua mume wa zarithebosslady
Source toka insta inasema: He had a stroke...
Binadam bhana,,,
Hawa waandaaji na wasimamizi wa masuala ya miss Tanzania mpo serious kweli?
Gari gani mmepa binti wa watu? Mbona hii dharau na kejeli? Haki ingekua mimi nisingepokea
Gari imejaaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.