Halafu nikija kuwasema humu JF mnaanza kukasirika na hadi kuninunia wakati kumbe ukweli ni kwamba mnafanya makosa makubwa sana ya Kitaalauma na Kiueledi hasa katika suala zima la Utangazaji na...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mngereza amelaani picha za nusu za utupu za msanii wa muziki, Ben Pol ambazo imezua tafrani kubwa kwenye mitandao ya kijamii.
Akiongea...
Kama kichwa kinavojieleza,huyo msanii namkubali sana,ni msanii wa hip hop hapa bongo na ana ladha na uandishi wa kipeke yake,ana mashairi ambayo huwezi kukalili kamwe,sanasana utaambulia vimistari...
Tuzo za chati kubwa duniani Billboard awards zimemalizika alfajiri ya leo uko Las Vegas, N.V, Marekani.
Msanii wa Hip Hop Drake amevunja rekodi ya kubeba tuzo nyingi za billboard iliokuwa...
Kwenye mada straight...kiukweli Ali kiba ni mfano wa wasanii wa kuigwa katika vitu anavifanya
Mojawapo ni mavazi anayovaa,anavaa nguo nzuri za kueleweka,pili hajirembi katika videos ye hanaga...
Sijaona mahali nitakapotolea malalamiko yangu zaidi ya JF, kiukweli E-Fm sijajua mnalenga nini utakuta mtu unasikiliza kipindi cha maana kabisa asubuhi mara inapigwa singeri!!! Huwa mnatutoa...
Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni...
Kijana wenu Rayvanny kutoka lebo ya wasafi amedondosha ngoma mpya iitwayo zezeta.
Kuipata na kuipakua we nenda website yao ya wasafi utapata original version kwa shilingi mia tatu tu.
Hongera...
Kuna taarifa inasambaa mitandaoni kwa kasi kutoka kwa mtu anayejitambulisha kwa jina la bundala,mtumishi wa sahara media akidai kwamba mahojiano yatakayofanyika na bwana bashite hapo STARTV...
Ukiingia tu Kanisani Kwake utakuta kuna Viti vimeshapangwa kabisa ambapo......
Vya mbele kabisa hukaa VIP wa Kikristo
Vya katikatika kabisa hukaa wanaojitahidi kuufukuzia u VIP wa Kikristo
Vya...
Ukiingia tu Kanisani Kwake utakuta kuna Viti vimeshapangwa kabisa ambapo......
Vya mbele kabisa hukaa VIP wa Kikristo
Vya katikatika kabisa hukaa wanaojitahidi kuufukuzia u VIP wa Kikristo
Vya...
Habari wadau wa Celebrities !!.
Leo nataka nimzumgumzie huyu msanii ambaye amekuwa akipewa sifa nyiiingi kwamba ana uwezo mkubwa, kwa kumsikiliza leo Ngoma zake zote ukiacha KWETU ni mbovu balaa...
1.wasanii hawako smart
mavazi yao yanaonesha ni watu wa aina gani ukikutana nae kama humjui unaweza dhani ni mwizi wa simu mfano afande sele madee juma nature(mzee wa ndala) na nk
2.matusi...
We Doreen since mtemane na Zilla naona unammendea sana bae wangu George Bantu....
Hukauki,kila picha anayopost nakuona wa kwanza kucomment,sijui umeturn on post notification,sielewi...
Mwimbaji wa nyimbo za njili Rosa Muhando ametangaza rasmi amehamishia makao yake ya kuishi na biashara kwenda Nairobi Kenya..
Je hii inaweza kuwa kwa TRA kuanza kuwatoa kodi kubwa wasanii ? Majuzi...
Kuna Kiongozi mmoja maarufu sana wa Kidini hapa nchini Tanzania amesikika akitoa mafunzo maalum ya Wanandoa na kusikika akisema kuwa Kisheria Wanandoa wanapokuwa wapo chumbani iwe ama wamekaa tuu...
Kwa mliowai kuwasikia au kuwaona watoa mada au waongeaji kwenye majukwaa ya hamasa kwenye angle tofauti naamini kuna watu walikuvutia kwa umahiri wao, story zao halisi za maisha au kukupa nguvu...
Jaman mwenye namba za uyu demu anaetangaza kipindi cha enewz cha eatv anipe jaman nijaribu bahati kwa kweli ananivutia sana kwa umbo lake mashallaaaah bonge moja la chu****a
Mwenye picha zake zaidi
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za mapenzi watakubaliana na mimi kwa 100% kwamba kwa hapa Tanzania ukitaka kusikiliza nyimbo kali za mapenzi zenye kubembeleza,kuliwaza,kufariji na kusuuza moyo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.