Daiamond amesema ni kitu poa kumtembelea kwa kuwa ni ubinadamu na hata akihitaji fedha za matibabu atampa, hajawahi kuwa na ugomvi nae ila wapambe wake ndio wanashadadia
Pia anamwambia Zari aache...
Trump alimpenda princes Diana. Diana akamkataa kwa Sababu Trump alikuwa anatumia Maua Mara 30 kwa siku. Akaamua kutafuta mwanamke kama Diana. Mnaona similarity yoyote?
Princess Diana...
Nimeusikiliza huu wimbo kwa mara ya kwanza mida hii, sasa kuna kitu kimenishtua na nadhani inaweza isiwe habari nzuri kwa Ben.
Kuna kipengele
kipo kama kibwagizo kwenye wimbo mpya wa Ben Pol...
A SONG FOR ASSATA SHAKUR-COMMON
Kama utakua umesikiliza album ya Common "Like water for chocolate" basi utakutana ngoma moja inaitwa "a song for Assata Shakur" ambayo Common alikua akimzungumzia...
Kamati ya Waandaaji shindano la Miss Tanzania sasa kufikishwa Mahakamani baada ya Wanasheria wa TSNP kuapa kuwa watawasaidi walimbwende walioshika nafasi ya 2,3 na 4 wa mwaka 2016 kulipwa pesa...
Wakuu leo nataka tumalize ubishi kuhusu hawa vijana machachali wanaosumbua kwenye anga ya muziki kwa kutoa hit songs kila kukicha .
Nataka tumalize ubishi unaondelea kati yao maana kila mmoja kwa...
Naenda moja kwa moja kwenye mada yangu,
Kutokana na maelezo ya mkuu wa mkoa Leo katika kipindi cha MBIVU NA MBICHI Rc wetu huo (jina mnalijua) amekiri kuwa hawa jamaa au pale ndani palikuwa ndo...
Tangu Diamond Platnumz azindue mtandao wake wa kuuza nyimbo online (Wasafi.Com) kitaani kumekuwa na story kuwa Diamond hana maelewano mazuri na mitandao mingine ya kuuza ngoma online.
Diamond...
Nauliza tu jamani maana Nina Siku kadhaa sifiki ofisi za Lumumba. Huyu mwenzetu kashaanza kazi hapo? Au yuko kwenye operations za mikoani? Naomba tujuzane alipo Hutu mwanadada mahili
Wasalaam wana jamvi.
Baada ya Ben pol kutoa wimbo na watu kupata wasaha wakuusikiliza. Msanii mwenzie ameibuka na kusema kuwa ni upumbavu mtupu... Nami naungana nae kusema ni upumbavu mtupu...
Bwana Jb na Ray kigosi ni kweli majuzi mmlikuwa mwanza na Bashite????kwamba wewe Jb ndiye mhamasishaji wa wasanii kupost mambo ya bashite mtandaoni?
Ni kweli kwamba yale madai ya Rais wa Taff ya...
Moja ya picha zilizopata comments nyingi Instagram siku mbili hizi ni picha za mwimbaji wa RNB Tanzania Ben Pol ambazo zilimuonyesha akiwa hajavaa nguo. Nay Wa Mitego aongelea swala hilo.
hello,
huyu jamaa alipata phd akiwa na miaka 26, hlf anahoji watu mbali mbali wazito katika kipindi cha uongozi kinachorushwa itv. Huyu jamaa ni intellectual hlf ana personality flan hiv amazing...
Kampuni ya Burudani Tanzania WCB iliyo chini ya mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki, leo inatarajia kutambulisha msanii wao mpya.
Kampuni hiyo kwa sasa ina wasanii kama Diamond...
Baada ya kutoka kwenye matangazo kwenye kipindi cha Clouds 360. Mtangazaji Baby Kabae akikaribisha alisema karibuni tena Sta.. then akarudi kusema Clouds 360.
Kweli kilichomjaa mtu ndio...
Huyu mtangazaji wa Clouds TV, Sielewi hawa watu anaowahoji lengo lake ni nini, naona upumbavu anaoongea Gigy Money kwenye kipindi chake cha Take One, najiuliza kwanini anaruhusu ujinga huu...
Msanii kutoka Moro Town, Stamina amesema haoni tatizo msanii wa kiume kujichubua kwani mtu huyo kabla hajawa msanii alikuwa kawaida ila baada ya kuwa msanii unakuta anachora tatoo na kuvaa hereni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.