Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakuu nahisi huyu ndugu babu talent kuna nguvu ya ziada anaitumia si bure. Nimejaribu kufatilia kwa karibu kabisa wasanii waliokuwepo chini yake na baadaye kwa namna moja au nyingine wakaachana...
4 Reactions
62 Replies
7K Views
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Nina muda mrefu sana sijasikia wimbo ukanisisimua toka kwenu wasanii wa bongofleva. Nyimbo karibu zote za sasa naishia kuzipenda baada ya kuzizoea zikishapigwa mara nyingi lakini haziingii mpaka...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Hii mistari imeenda shule. dubu!! ukiona una changa moto we unachanga unga mnatoa dongo mungu wetu sote hawezi kubali pokea hongo young killer ni mdogo mungu ni mkubwa mswahili ni yule...
2 Reactions
11 Replies
25K Views
Kijana mmoja aliyesema anaitwa Frank Omary amesafiri kutoka Iringa kuja Dar kumtafuta Harmorappa mna kudai yeye ni ndugu yake mama yake amemwambi ni wa baba mmoja, ameacha na namba zake akitaka...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Umofia Kwenu Wana JF, Mwanamziki wa hip-hop Carlos walker aka Shawty Lo amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea ATL,Georgia,Usiku wa kuamkia jumatano. Shawty Lo alikuwa akiendesha gari...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Msanii mdogo kutokea huko Arusha amesema mwanaume kama huna helani bora usiwe na mtoto maana wanatekeleza watoto na kusababisha mateso kwa viumbe wasio na hatia na sasa maisha yamekua magumu Pia...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please Mfano Exaud Makyao Kibunango Josm Sipo Faith Nyamayao MTM Na wengine...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Wakazi ni kumbe ni jamaa wise sana, amefafanua kilichompelekea afande sele kumtolea povu ni kuwa aliulizwa ataje mc wake mmoja mkali akajibu kuwa hawezi kutaja mmoja ila wanne akamtaja Fid Q, One...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
Leo nimebahatika kuangalia video ya huu wimbo, niambie. Nikisikiliza maneno nasikia umenipendea nini ingali sina dough(pesa). Mara mangi asije kukudanganya na kilo ya unga. Sina kazi hata senti...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Hii kitu nimeanza kuwaza toka usiku na nimeamka asubuh moja kwa moja mpaka JF celebrities forum kutoa mapovu yangu kwa watz ama wabongo. Huu uzi unatokana na tabia ya wabongo kuamini ktk mtelemko...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukiona jinzi kina Don Jazzy wanavyomheshimu D banj na wasanii wote wa Nigeria wanavyopendana inatia raha sana Juzi juzi Davido katoa wimbo mkali sana unaitwa 'if' kumbe alieutengeneza ni...
10 Reactions
39 Replies
6K Views
Robert Nesta Marley,ambaye baadaye alikuja kujulikana kama Bob Marley,alizaliwa Februari 6,1945 katika kijiji cha Nine Mile kwenye Parishi ys mtakatifu Ann huko Jamaica. Baba yake Norval Sinclair...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…