Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa
====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na...
Habarini,
Wakati wa muda wa mchana SAA 6 au SAA 7 kunakuwa na kipindi cha wakati wa maakuli kwenye stesheni ya radio one stereo
Kabla kipindi hakijaanza kunakuwaga na ala flani ya mziki...
Wasalaam wana jf.
Kama mtakuwa na kumbu kumbu E-FM na Man fongo waliingia kwenye mgogoro baada ya Man fongo kukubali kufanya show lakini dakika ya mwisho kabisa hakutokea eneo la tukio na...
Wadau mambo niaje?
Nilikuwa nahitaji kumjua huyu mwanadada Priyanka Chopra maisha yake halisi(The historical background) mpaka kukutana na wasanii wa Tanzania*(@Diamondplatnumz) kwenye kategori moja.
Najuwa wapo watu watakuja kunishambulia lakini Mimi kama nasimama kwenye ukweli huwa siogopi kushambuliwa hata kwa risasi.
Wote tunajuwa matumizi ya perfyumu na sidhani kama huwa kuna perfume...
Diamond amezindua rasmi pafyumu yake ya Chibu, itauzwa kwa bei ya 105,000 bei ya rejareja ameomba sapoti kwani anatoa ajirakwa vijana
Zitapatikana GSM Mall, Mlimani City, pia zitakuwa zikipatikana...
Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri.
Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo...
Wadau,
Leo nimeona tujikumbushe na suala hili, moja ya kumbukumbu ni kwamba mchora katuni maarufu Masoud Kipanya siku Clouds TV wanafanya sherehe ya kuanza kuonekana DSTV, aliwaponda kupitia...
Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo?
Makongoro Mahnga alipta...
Nlikuwa nikitazama vedeo Music ya nyimbo show me kutoka WCB Richi Mavoko akiwa na Harmonize.
Video Queen alie mtumia ni mkali sana na amecheza vizuri sanaa. Pia ni dada anaetambua kazi yake na...
Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea...
Nani amekuambia wapenzi waliotengana au kuachana ni maadui? Sahau kabisa kuhusu hilo kwani Rapa Nay wa Mitego ameudhihirishia umma kwa kutangaza kuwa kwenye Tour yake ya muziki ‘Wapo Tour’...
Harmonize amesema watu wanashangaa kuona anatembelea magari ya kifahari ila hawajui tu kuwa muziki unampa Connections nyingi kwani mbali na show pia anaingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa...