Rapper wa kundi la zamani la muziki wa Hip Hop, Hard Blaster Crew ‘HBC’ Terry Fanani apelekwa sober house Ijumaa hii ili kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya.
Rapper Kalapina ambaye ni mmoja...
Wasafidotcom hongereni sana kwa ubunifu na kwa huduma zenu ila sometimes mnaboa.Process ya mpaka kuupata wimbo inakatisha sana tamaa hata kama tuna nia ya kusupport..
Punguzeni mlolongo ni mrefu...
Wanabodi
Hapo awali kuliripotiwa habari za kuimba wimbo wa pamoja utakaowajumuisha wasanii wakuu wawili hapa nchini kwaajili ya kutoa "hamasa" kwa vijana wetu serengeti boys watakapoenda...
Buenos noches
Huyu kijana naweza sema ni mtanashati na mbunifu sana kwenye tasnia ya habari, anatumia vizuri social media kutufikishia habari ontime na uncernsored. Kupitia youtube channel yake...
Mziki wa Nigeria unizidi paa uku sie wetu bongo fleva tunaendekeza majungu na uteam kiba na mond ni wiki hii tu msanii na rapa wa Marekani katoa album yake itwayo Shine ndani yake zikiwepo nyimbo...
Mwimbaji wa Injili aliyekorofishana na mkewe Emmanuel Mbasha amemkandia mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima ambaye ndiye anadaiwa kuvunja ndoa ya muimbaji huyo kuwa ni mtu mwenye roho mbaya...
Wana JF,
Ningependa huyu Bwana awe MC katika harusi yangu. Mwenye kufahamu namba yake ya simu, au mawasiliano mengine yoyote yatakayofanikisha kumpata, naomba anipatie
Habari wakuu,
Ni kitambo sana msanii Ali Kiba hajasikika vinywani mwa watu, hajaonekana kwenye matukio yoyote na wala haandikwi kabisa na vyombo vya habari vya Tanzania, Afrika na hata dunia...
Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.
Kuna kipindi...
hata jina lake niliwah ona na cd lakini nimemsahau.kw kimo ni mrefu sio sana.mweupe
nyimbo yake inayombamba zaidi ina beat kama ya singeli hivi.
ila kinachonishangaza ni mtindo wake wa...
Hawa wote inasadikika kuwa wamewahi kuwa na uhusiano na Frola Siku za nyuma. Mbasha alikuwa mume halali wa Flora kabla ya kuachana na hata baada ya kuachana inasemekana Flora alijiingiza katika...
Kumekuwa na maneno mengi leo kuanzia kwenye vijiwe vya kahawa mpaka mitandaoni kumhusu mwanamziki aliyejulikana kama Flora Mbasha awali (madame Flora sasa) kuhusu uamuzi wake wa kufunga ndoa kwa...
Sijui ni lini huyu Mtangazaji ataacha hii tabia yake ya kipuuzi na ya kimakusudi ambayo sasa ameshaifanya kama vile kuwa ndiyo utaratibu wake wa kila siku anapokuwa Kazini hapo Studioni Efm.
Ni...
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop,
Daz Baba amedai amegundua kitu
ambacho kinamkwamisha ashindwe
kufanya vizuri kama zamani
Daz ambaye amewahi kufanya vizuri na
nyimbo nyingi ikiwemo ‘Namba 8’...
Wazima wakuu.
Binti huyu anaitaji kura yako ili aweze kushinda katika shindalo la "college Top model competition". Na kuibuka kuwa Mshindi katika shindano hilo.
Jina: Janeth Phocus
Contestant #...
Habari ya wakati huu wakuu.
Sisi watanzania tunafahamika kwa ukarimu na roho nzuri, upendo na kusaidiana, tabia ambayo mwalimu alitufundisha.
Lakini pia sisi ni watu wabaya sana kama mtu...
Sanchoka azidi kubreak internet kwa kutupia vitu hivi mtandaoni. Katawala kote kitu ambacho kimefanya yeye kuwa gumzo na kuwafunika wote Vera Sidika na Huddah Monroe. Sasa hivi anafanya kazi zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.