Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nani mkali kati ya hawa wawili, msanii chipukizi ( Harmorapa) na msanii mzoefu kwenye gemu LA muziki ( Darasa) Karibuni kwa maoni
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Huyu kaka nampenda sana jamani... Sura yake sasa,ukija kune sauti dah unaeza naniliu hivi hivi.... Kwa anaemjua ameoa? au ana gf?? Yani siku hizi sipitwi na jahazi kizembe...nikimsikia tu me...
2 Reactions
98 Replies
20K Views
Kama hauamini zisikilize nyimbo zote mbili halo chini. Ni ukweli usiopingika kuwa Darasa ameiba biti iliyotumiwa na msanii underground sana katika muziki Wa bongo fleva. Kama wasanii wakubwa...
5 Reactions
61 Replies
15K Views
Naona sasa ni wakati muafaka kwa huyu Mtangazaji wa michezo wa TBC Taifa aitwae Jesse John amuombe Mkewe akubali ' kumbebea ' Mimba ili amzalie Mtoto wa Kiume kisha amuite Haruna Niyonzima...
2 Reactions
74 Replies
14K Views
Achana na lile pambano lililobatizwa jina la "Pambano la karne" kati ya mwanamasumbwi machachali ambaye hana historia ya kupigwa wala kutoa sare tangu aanze ngumi za kulipwa, ajulikanaye kama...
9 Reactions
104 Replies
16K Views
Rejea tu kichwa cha ' uzi ' hapo juu na karibu ' utiririke ' Mkuu.
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari ndugu? Nimeguswa sana na jumbe hii, naamini nawe pia kuna kitu utajifunza, pata kusikiliza hii audio- anaitwa CLION O DISMAS
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jina lake kamili ni Adam Mutyaba Mukiibi alizaliwa Ggaba uko Kampala nchini Uganda.Mwaka 1998 alienda South Africa kusoma Diploma ya lugha kwa miaka 3 hadi 2001. Harafu baada ya hapo akaja...
1 Reactions
69 Replies
17K Views
Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu. Pia amesemapia...
11 Reactions
193 Replies
22K Views
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika...
19 Reactions
120 Replies
9K Views
22nd July 2017 msanii wa kimataifa kutoka Tanzania bwana DP atapanda jukwaa moja na mkali wa rap, future kutoka marekani na cassper nyoves kutoka south Africa..... Tujiandae kwa show kali kutoka...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Msanii mkongwe kwenye gemu la bongo fleva amedai siku hizi inabidi uhonge fedha ili muziki wake upigwe redioni na yeye pia inabidi afanye hivyo Amesema kuna nyimbo mbovu sana siku hizi ambazo...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Hatimae aliekuwa mke wa Emanuel Mbasha leo amefunga ndoa na Daudi Kusweka na sasa anatambulika kama Flora Kusweka
10 Reactions
489 Replies
67K Views
1.O ten mzee wa ebu nicheki 2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka 3.Kalapina 4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi? 5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke...
1 Reactions
40 Replies
8K Views
Kesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000...
2 Reactions
164 Replies
31K Views
Msikilize hapa
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Brad Pitt on his family being 'ripped apart' - CNN.com (CNN) Brad Pitt is not going to engage in a nasty custody battle with Angelina Jolie. In his first extensive interview since the power...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Ukweli huyu jamaa level zake asa iv ni za mbali sana maana kauthibitishia umma kuwa anakubalika kila sehem siyo bongo tu.....maana jana kajaza uwanja kabisa tena nchi ya ugenini.
13 Reactions
123 Replies
13K Views
Back in the days!!Kiunoni Motorola sijui Siemens....Lkn ndio "fashiooo".Bila kuiweka simu nje ya kiuno watu wanakuona wakuja.Hapo zikiitwa "kimobitel" au "kivodacom".Mtu anakwambia weka "dola"...
33 Reactions
167 Replies
27K Views
Back
Top Bottom