Huyu kaka nampenda sana jamani...
Sura yake sasa,ukija kune sauti dah unaeza naniliu hivi hivi....
Kwa anaemjua ameoa? au ana gf??
Yani siku hizi sipitwi na jahazi kizembe...nikimsikia tu me...
Kama hauamini zisikilize nyimbo zote mbili halo chini. Ni ukweli usiopingika kuwa Darasa ameiba biti iliyotumiwa na msanii underground sana katika muziki Wa bongo fleva. Kama wasanii wakubwa...
Naona sasa ni wakati muafaka kwa huyu Mtangazaji wa michezo wa TBC Taifa aitwae Jesse John amuombe Mkewe akubali ' kumbebea ' Mimba ili amzalie Mtoto wa Kiume kisha amuite Haruna Niyonzima...
Achana na lile pambano lililobatizwa jina la "Pambano la karne" kati ya mwanamasumbwi machachali ambaye hana historia ya kupigwa wala kutoa sare tangu aanze ngumi za kulipwa, ajulikanaye kama...
Jina lake kamili ni Adam Mutyaba Mukiibi alizaliwa Ggaba uko Kampala nchini Uganda.Mwaka 1998 alienda South Africa kusoma Diploma ya lugha kwa miaka 3 hadi 2001.
Harafu baada ya hapo akaja...
Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu.
Pia amesemapia...
Kama mtu umeamua kuwa msanii ni vyema ukajua mipaka yako ukweli ni kwamba wasanii wana wafuasi wengi hivyo ni rahisi kwao kuleta hamasa kwa jamii na kwa kila rika, ndiyo maana huwa wanatumika...
22nd July 2017 msanii wa kimataifa kutoka Tanzania bwana DP atapanda jukwaa moja na mkali wa rap, future kutoka marekani na cassper nyoves kutoka south Africa..... Tujiandae kwa show kali kutoka...
Msanii mkongwe kwenye gemu la bongo fleva amedai siku hizi inabidi uhonge fedha ili muziki wake upigwe redioni na yeye pia inabidi afanye hivyo
Amesema kuna nyimbo mbovu sana siku hizi ambazo...
1.O ten mzee wa ebu nicheki
2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka
3.Kalapina
4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi?
5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke...
Kesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza
Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000...
Brad Pitt on his family being 'ripped apart' - CNN.com
(CNN)
Brad Pitt is not going to engage in a nasty custody battle with Angelina Jolie.
In his first extensive interview since the power...
Ukweli huyu jamaa level zake asa iv ni za mbali sana maana kauthibitishia umma kuwa anakubalika kila sehem siyo bongo tu.....maana jana kajaza uwanja kabisa tena nchi ya ugenini.
Back in the days!!Kiunoni Motorola sijui Siemens....Lkn ndio "fashiooo".Bila kuiweka simu nje ya kiuno watu wanakuona wakuja.Hapo zikiitwa "kimobitel" au "kivodacom".Mtu anakwambia weka "dola"...