Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Rapper wa kundi la zamani la muziki wa Hip Hop, Hard Blaster Crew ‘HBC’ Terry Fanani apelekwa sober house Ijumaa hii ili kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya. Rapper Kalapina ambaye ni mmoja...
3 Reactions
74 Replies
14K Views
Wasafidotcom hongereni sana kwa ubunifu na kwa huduma zenu ila sometimes mnaboa.Process ya mpaka kuupata wimbo inakatisha sana tamaa hata kama tuna nia ya kusupport.. Punguzeni mlolongo ni mrefu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanabodi Hapo awali kuliripotiwa habari za kuimba wimbo wa pamoja utakaowajumuisha wasanii wakuu wawili hapa nchini kwaajili ya kutoa "hamasa" kwa vijana wetu serengeti boys watakapoenda...
3 Reactions
88 Replies
8K Views
Buenos noches Huyu kijana naweza sema ni mtanashati na mbunifu sana kwenye tasnia ya habari, anatumia vizuri social media kutufikishia habari ontime na uncernsored. Kupitia youtube channel yake...
12 Reactions
71 Replies
11K Views
Wakuu kwa huu msumeno wa Magu na hizi taarabu za madem wa siku hizi, Wanaume tutapona kweli?
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Mziki wa Nigeria unizidi paa uku sie wetu bongo fleva tunaendekeza majungu na uteam kiba na mond ni wiki hii tu msanii na rapa wa Marekani katoa album yake itwayo Shine ndani yake zikiwepo nyimbo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Msanii Roma akihojiwa leo na clouds tv ameishukuru serikali kwa kunusuru maisha yake na kumrudisha uraiani.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Mwimbaji wa Injili aliyekorofishana na mkewe Emmanuel Mbasha amemkandia mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima ambaye ndiye anadaiwa kuvunja ndoa ya muimbaji huyo kuwa ni mtu mwenye roho mbaya...
2 Reactions
63 Replies
11K Views
Wana JF, Ningependa huyu Bwana awe MC katika harusi yangu. Mwenye kufahamu namba yake ya simu, au mawasiliano mengine yoyote yatakayofanikisha kumpata, naomba anipatie
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Habari wakuu, Ni kitambo sana msanii Ali Kiba hajasikika vinywani mwa watu, hajaonekana kwenye matukio yoyote na wala haandikwi kabisa na vyombo vya habari vya Tanzania, Afrika na hata dunia...
3 Reactions
80 Replies
19K Views
Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa. Kuna kipindi...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
hata jina lake niliwah ona na cd lakini nimemsahau.kw kimo ni mrefu sio sana.mweupe nyimbo yake inayombamba zaidi ina beat kama ya singeli hivi. ila kinachonishangaza ni mtindo wake wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa wote inasadikika kuwa wamewahi kuwa na uhusiano na Frola Siku za nyuma. Mbasha alikuwa mume halali wa Flora kabla ya kuachana na hata baada ya kuachana inasemekana Flora alijiingiza katika...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kumekuwa na maneno mengi leo kuanzia kwenye vijiwe vya kahawa mpaka mitandaoni kumhusu mwanamziki aliyejulikana kama Flora Mbasha awali (madame Flora sasa) kuhusu uamuzi wake wa kufunga ndoa kwa...
2 Reactions
95 Replies
12K Views
Sijui ni lini huyu Mtangazaji ataacha hii tabia yake ya kipuuzi na ya kimakusudi ambayo sasa ameshaifanya kama vile kuwa ndiyo utaratibu wake wa kila siku anapokuwa Kazini hapo Studioni Efm. Ni...
8 Reactions
77 Replies
18K Views
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Daz Baba amedai amegundua kitu ambacho kinamkwamisha ashindwe kufanya vizuri kama zamani Daz ambaye amewahi kufanya vizuri na nyimbo nyingi ikiwemo ‘Namba 8’...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Wazima wakuu. Binti huyu anaitaji kura yako ili aweze kushinda katika shindalo la "college Top model competition". Na kuibuka kuwa Mshindi katika shindano hilo. Jina: Janeth Phocus Contestant #...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Sisi watanzania tunafahamika kwa ukarimu na roho nzuri, upendo na kusaidiana, tabia ambayo mwalimu alitufundisha. Lakini pia sisi ni watu wabaya sana kama mtu...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
Sanchoka azidi kubreak internet kwa kutupia vitu hivi mtandaoni. Katawala kote kitu ambacho kimefanya yeye kuwa gumzo na kuwafunika wote Vera Sidika na Huddah Monroe. Sasa hivi anafanya kazi zake...
4 Reactions
94 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…