Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nampenda sana Babbie Kabae mtangazaji wa Clouds Tv, kutokana na upeo wake mkubwa wa kufikiri, kujibu hoja na kuwa mbunifu. Hivi how old is she? Kasomea chuo wapi? (i heard ni mkenya but am not...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Mimi nikiwa kama mdau wa muziki hapa nchini, nakushauri upunguze matumizi ya headband(mwenyewe unaiita Ribon). Serious inakupotezea muonekano na inakuwa kero sana kwa wanaokutazama. Too much is...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Wafunge na TV stations zoote tubaki CD player, sinunui bongo movie. Wajiulize mbona hatulazimishwi kununu au kusikiliza bongo flavor? Kwasababu wanashindana sambamba na soko. Kizuri chajiuza!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani kwa wapenzi wa nyimbo za injili jina la Timothy Ngw'inamila si geni masikioni mwao. Huyu mtu alikuwa maarufu sana kwa utunzi na uimbaji wa nyimbo za injili hadi miaka ya 90. Hivi sasa...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake ktk kuigiza, amewaasa wabongo...
3 Reactions
68 Replies
8K Views
Sifa kuu Zake. Anajihwshimu sana Ajawai kuchuja kiwango Baba mnaigeria mama muingereza Hana kashfa za ngono Vibao vitamu vya.taboo Nk. Karibu
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo nimeyaangalia maandamano ya wasanii Wa mbogo nikasikitika sana..yaani Ina maana wasanii Wa bongo movie hawajui ni kwa nini movie zao haziuzi au kuna agenda nyuma ya hii movement yako.. Mimi...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Wasalaam wanajamvi. Mimi ni mmoja wa mashabiki wa Harmonize na toka anatoa wimbo wa kwanza kwakweli alionesha ni wazi ana kipaji cha ajabu sana pamoja na kusikika kama Diamond,Mimi ni mmoja wa...
9 Reactions
71 Replies
8K Views
Wasalaam wanacelebrities na wanajf kwa ujumula... Kwanini Bongo movie imedorora na wengine wamefikia kusema imekufa ni sababu zipi zinazofanya hadi movie za kibongo kukosa soko Je tatizo...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali, hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma Unajiinamisha...
12 Reactions
131 Replies
22K Views
Abedinego Damian aka Belle 9 amepata msiba mzito. Baba yake mzazi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Meneja wake, Jahz Zamba, ameiambia Bongo5 kuwa Mzee Damian amefariki dunia baada ya kugongwa...
4 Reactions
55 Replies
9K Views
Naitwa MC SIMON MZUNGU ni mshereheshaji (MC),mwigizaji na mwimbaji wa muziki wa injili.Nikiwa mmoja wa members wa jamii forum Nawakaribisha kusikiliza nyimbo yangu 'NI SIKU'featuring...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasanii wa BongoMuvi wako Mbugani na Mahotelini wakila Pasaka, wakati wasanii wa BongoFleva wako Mikoani wanapiga Kazi. Sasa hapo unategemea tutanunua Filamu kweli? Wamebakiza kumtumia tu Mkuu wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Uume wake una Kilo 56 ( sawa na mfuko wa Saruji / Cement ) Akifanya tendo la Ndoa ( akibandua ) hutoa Shahawa za ujazo wa lita 5 Akimaliza kufanya tendo la ndoa ( kubandua ) hutulia kwa Saa 3...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilidhani ni Kitendo tu cha siku moja labda alikikosea lakini sasa naona kama ni Kitendo ambacho amekibariki na anakifanya sasa bila hata aibu au kujishtukia kuwa anachokifanya kiukweli ni kinyume...
8 Reactions
76 Replies
19K Views
Ndoa ya mwanasiasa na msomi Anthony Mavunde iliyofungwa jumamosi ya Tar 27 yafana, ndoa hiyo iliyo hudhuriwa na viongozi, wanasiasa na watu mashuhuri nchini inatajwa kuvunja rekodi ya mkoa wa...
0 Reactions
17 Replies
15K Views
Wanakubalika mno hadi na Mheshimiwa Rais wetu wa JMT. Wanakula sana bata ( wanastarehe ) kuliko wenzao. Wanapata umaarufu kila kukicha kuliko wenzao. Wana influence kubwa kwa Mabosi zao hapo na...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Leo akizungumza Kanisani, mchungaji Gwajima amesema amemsamehe Msanii Wa mziki nchini Diamond na kuongeza kuwa kama so kuomba msamaha alipanga kumuumbua juu ya namna alivyojiunga, wapi na tarehe...
9 Reactions
151 Replies
36K Views
Finally, nimeona wazushi watatimiza ahadi yao ya kuiongeza BET, na mtu wa kwanza kumkumbuka ni The Channel's former favourite son, 'T.i double g'. Jamaa aliwafanya rappers wengi waonekane...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Heri ya pasaka wana JF Leo katika pitapita nimekutana na mjadala uliokuwa unawaelezea wakali wa miondoko ya kufoka(hip hop) wa hapa TZ kati ya Joh makini na Fid q,toa maoni yako nani ni mkali...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Back
Top Bottom