Kulingana na hivi karibuni msanii mkali bongo, Diamond platnums kutoa wimbo wake mpya unaoitwa "bora nikae kimya" huku ndani ya ngoma hiyo akiwa ameitetea serikali na mkuu wa mkoa paul makonda...
Wakuu
Nimekuwa mfuasi mkuu wa timu kiba tangu muda mrefu lakini muda wote huu ni wazi kabsa hii timu haitupi mashabiki wake furaha kabisa
Tumekuwa tukiburuzwa na WCB kila siku, Diamond na wenzake...
Ni wasanii manguli wa rnb ambao ubingwa wao ktk kutengeneza nyimbo nzuri,kusimama vyema ktk viitikio na kuwa na sauti zao murua walizojaaliwa....Belle 9 ni mbunif mzur wa idea,ana sauti ya...
Acheni kumlaumu Roma jamani Roma kasema eti atasema kila kitu jumatatu nawala hajataja tarehe na mwezi wa jumatatu hiyo yawezekana ikawa juma tatu ya mwaka ujao .
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana...
Mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.
Toka huyu jamaa Gwajima ajifanye anajua siri za watu na kuwaumbua kwenye kanisa lake fake, hakuna cha maana anachoongea kuhusu wabaya wake zaidi ya kuchukua udaku wa kwenye mitandao ya kijamii...
Na Saleh Ally
NARUDI nyuma kidogo, nataka kukumbusha namna ambavyo niliwahi kuandika kuhusiana na namna ambavyo mwanamuziki Nasibu Abdul, maarufu kama Diamond, kwamba ameanza kukosea vitu kadhaa...
Kikundi cha kash kash, kinajojishughulisha na shughuli za sanaa kwa kucheza ucheshi unaojulikaba kama Mizengwe ndio kikundi pekee hivi sasa kilichobakia kwenye tasnia ya ucheshi kwa kuweza...
Salam,
Kwa kile kinachoonyesha kuwa ni kuendana na upepo wa kisiasa wasanii wameonekana kuhamia kwenye muziki wenye maudhui ya kisiasa na haswa kwa kinachoendelea katika uongozi uliopo...
Kwa siku nne zilizopita kumekuwa na taharuki baada ya ‘kutekwa’ kwa wasanii wa Bongo Fleva, Roma, Moni na wenzie lakini habari njema ni kuwa kwa sasa wamepatikana. Tukio hilo limezua mijadala...
Wabana pua na vinyimbo vyao vya mapenzi wameshindwa kufurukuta katika kipindi hiki ambacho Mashabiki wako alerted na mambo ya kisiasa yanayoendelea nchini. Hali hii imewafanya washindwe kutoa...
Kupitia mtandao wa picha (instagram) mafuvu ameandika kuhusu kuacha kazi vituo hvyo sababu ikiwa ni agizo kutoka juu kwa aina mpya ya kupiga musiki...
Sababu nyingine ametaja kipato kidogo...
Producer mkongwe P Funk amemjibu Master Jay baada ya kusema msanii wake hana kipaji, Majani amesema Master Jay hatakiwi aongee kwa kuwa alikuwa akimletea wasanii wabovu na P funk kuwapotezea...
Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;
Mosi.
Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana!
Pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.