Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nate Dogg. Hooks ain't been the same toka Mchizi alipoacha kufanya, kuumwa mpaka anakufa. Baadhi ya sehemu alizoharibu na sauti yake ni 'i like dat' ya Houston, 'Next episode' ya Dre, 'can't deny...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Najua kutafuta umaarufu ni kazi ila kuharubu umaarufu ni ndani ya dakika moja na ukabaki historia Nimejaribu kukaa chini nimefikiria kiundan nimegundua kitu ambacho yawezekana DIAMOND...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nakumbuka wakati Nay wa mitego amekamatwa alitoa ujumbe kupitia account yake ya instagram akieleza kuwa watu waliomkamata walikuwa wamejitambulisha kama maafisa wa polisi, so jamii ilijua fika...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni katika wimbo wake mpya uitwao bora nikae kimya. Diamond amegusia ugomvi wa Makonda na Gwajima na ushiriki wa Mange. Amegusia tatizo la vyeti la Makonda na shinikizo la kutaka atenguliwe. Katika...
13 Reactions
648 Replies
97K Views
Watanzania wamekuwa mbogo na wameanza kumtemea cheche mwanamuziki nguli nchini....Simber! Si kitu chepesi msanii kukubali kuweka rehani kazi yake, tena inayomlipa sana just kwa kutaka kuendekeza...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Bwana Diamond na wengine wachache waache kuleta siasa, utani na unafiki kwenye roho na maisha ya watu. Inaonesha wazi hauna msimamo, mara umeamua kukaa kimya mara unajishtukia unajidai "Kwakweli...
17 Reactions
72 Replies
7K Views
Nimeusikiliza wimbo wa Mondi na naheshimu maoni yake! Kuna waliopenda na kuna wasioupenda ila ni maoni yake na tuyaheshimu. Linalonishangaza kidogo ni kwa jinsi Mondi alivyomjibu Gwajima kwamba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sakata la kupotea kwa mwana hip hop, roma mkatoliki, linazidi ku make headline ambapo hivi karibuni wasanii kutoka bongo movie, wameingia kwenye bifu zito, sababu ikiwa ni roma Awali wema...
7 Reactions
57 Replies
8K Views
mmmmhhhh Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu yashanipiga sasa sinabudi nielewe siwezi kung'ang'ania maana sio fungu langu japo ni shida ila, nitabaki mwenyewe ohh ila, mpe shukrani kwa...
14 Reactions
55 Replies
10K Views
Wimbo ni mistari ya mashairi siyo Melody wala umarufu wa mtu Wimbo huu umekuja ki mkakati umekuja kulifanya jina la MAKONDA lijadiliwe Liimbwe na media zilizomkataa, Dai kajilipua...
34 Reactions
126 Replies
12K Views
#KaaKimyaTukusemee : TUTASEMA KWA FAIDA YA WATANZANIA IKIWEMO WEWE. Mara naona picha ya Baba wa Taifa, nikadhani umeamua kulisemea Taifa. Baba wa Taifa hakukaa kimya, alikemea uovu. Kukaa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi karibuni vijana wengi wa kike wanaotumiwa na wasanii wetu katika utengenezaji wa video zao wamekuwa na mtindo mchafu wa kupiga picha za nusu uchi na kuzisambaza kwenye mitandao ya...
6 Reactions
84 Replies
72K Views
Msanii toka Marekani French Montana amewapa shavu watoto wenye vipaji vya kucheza ghetto kids kwa kuwafata hadi uganda na kuwaomba watokee kwenye video ya wimbo wake mpya uitwao "Unforgettable"...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sugu,X plasters,Soggy Dog,inspector harun,GWM na wengine kibao miaka ya 99...enjoy it
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Binafsi nimependa ushirikiano na jitihada alizozianzisha juu ya kupatikana kwa Roma Amewataka wasanii wote SAA 6 wakutane Tongwe kujadili namna ya kumtafuta na kumpata Roma.. source page yake...
2 Reactions
183 Replies
24K Views
Wasallam wanajukwaa, Katika pita pita zangu za mitandaoni nimekutana na messages hizi za mlimbwende jokate za kunyapia nyapia zinasema eti ni dongo kwa manager wa mpenzi wake kuonekana ku manage...
6 Reactions
303 Replies
38K Views
Hii ilitokea Jumamosi Maisha Club baada ya shabiki kumtupia chupa Harmorapa akiwa stejini , Jamaa huyo alishushiwa kipigo na walinzi wa hapo na kumuhisi kuwa alikuwa ametumwa ila yeye alikataa...
4 Reactions
48 Replies
8K Views
NIMETANGULIZA NENO MASIKINI SABABU NYIMBO YA SAIDA KAROLI IMETUMIKA KWENYE MOVIE YA TYLER PERRY IITWAYO PEEPLES ... NA CREDIT KWENYE WEBSITE YA IMDB ZINAONYESHA HIVI Maria Salome Written and...
1 Reactions
19 Replies
11K Views
Back
Top Bottom