Akitokea kwenye utangazaji wa habari channel ten hakuna aliyemjua kiundani ni nani hasa. Baadae akaea P.R.O NMB hapo ndipo alipoanza kutambilika uhalisia wake akaingia kwenye mapenzi motomoto na...
Hayo kayasema Irene majuzi wakati akikaangwa.
Nakumbuka kuna gazeti la pale Bamaga lishawahi kuripoti habari ya Diamond na Uwoya kutoka kimapenzi.. Ilikuwa uongo? Kiki?
Exclusive: Diamond...
Bidada anayemuweka mjini Harmo rapa kumbe sio mtu wa mchezo mchezo, baada ya kufanyiwa alichokiita ni kuchukuliwa poa na msanii aliyekuwa chini yake, dada huyo alimyimua jamaa huyo usiku wa manane...
Huyu mwanamke anatisha nilijua labda kavaa mask kumbe alifanyiwa surgery afanane na paka kisa mpenzi wake alikuwa anampenda sana paka wake kupitiliza ,akaona atumie pesa nyingi ajibadilishe
Sasa...
Mpigie kura Diamond Platnumz ili aibuke mshindi katika kipengele cha video ya mwezi.
Hakikisha una akaunti twitter na tena nenda MTV BASE EAST kupiga kura.
FROM MTV BASE EAST.
Kitendo cha Mh Mwakyembe kuzomewa huku Nape kushangiliwa siku ya jumamosi uwanja wa Taifa halikuwa jambo la kawaida.
Lazima lilimpa Rais wetu msukumo wa kujitathmini juu ya maamuzi ayafanyayo...
Waziri wa sanaa anatarajiwa kuwakutanisha kiba na diamond mjini dodoma ili kuweza kuwapatanisha na kuondoa tofauti zao, wakali hao wameteuliwa kwenye kamati ya team ya taifa serengeti boys
Je...
Weusi wametoa ngoma Kali sana inaitwa "ya kulevya".... Gnako kwenye chorus Nikki wa pili kachana....ni jungu la kisomi kwa bashite na mkuu....sidhani kama huu wimbo utachukua mda.
Hapo kuna Brooklyn boy Jigga Hova Jay-Z mwanamuziki na mjasiriamali kutoka New York Marekani. Ni tajiri aliyevuna pesa kwny Music na Biashara kibao, aliwah kuwa Ofisa mkuu wa Def Jam, pia ni mmoja...
Msanii wa kizazi kipya baraka andrew almaarufu Barakah The Prince amekana kurudi katika menejiment yake ya zamani wakati akihojiwa katika kituo cha redio ya clouds fm,
hapo hapo ametumia muda huo...
Msanii huyo aliulizwa kuhusu kulipwa na Harmorapa kufanya kolabo na kununuliwa nguo za kufanya video, alidai huo ni uwongo na msanii huyo hana hela ya kumlipa yeye, ana sema alimsaidia tu kwa kuwa...
Msanii maarufu na machachari anayetikisa anga za Afrika Mashariki na Kati anayetabiriwa kupata tuzo nyingi mwaka huu kutokana na nyimbo zake kali kuwahi kutokea apa Tz na Afrika kwa ujumla amepata...
Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema wataufungia wimbo wa 'Wapo' wa Nay wa Mitego kwani hauna maadili. Amesema haufai unachochea vurugu.
=======
UPDATE...
Heshima kwenu Mkuu,
Msanii wa Bongo Fleva Ney wa Mitego, amesafirishwa kutoka Morogoro na kupelekwa Dar.
Ney wa Mitego alikamatwa jana na Polisi mjini Morogoro kwa sababu ya wimbo wa Wapo...
In a new promo for Keeping Up With the Kardashians, Kardashian West reveals she is struggling with the possibility of a high-risk pregnancy as she and husband Kanye West try to conceive again.
“I...
Katika ukurasa wake wa FB peter kibatala amesema watapigana mpk tone la mwisho leo hii 27/3/2017 kuhakikisha ney wa mitego anapelekwa mahakamani na anapewa dhamana.
Ameandika hawawezi kumwacha...
Ney wa mitego naona sasa ameishiwa na kuamua kutafuta kiki kwa nguvu,hii nyimbo yake haina maadili kabisa,cover yake ni matusi tupu. Nadhani TCRA imefika wakati huyu jamaa afungiwe kwa muda ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.