Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Akitokea kwenye utangazaji wa habari channel ten hakuna aliyemjua kiundani ni nani hasa. Baadae akaea P.R.O NMB hapo ndipo alipoanza kutambilika uhalisia wake akaingia kwenye mapenzi motomoto na...
3 Reactions
52 Replies
11K Views
Hayo kayasema Irene majuzi wakati akikaangwa. Nakumbuka kuna gazeti la pale Bamaga lishawahi kuripoti habari ya Diamond na Uwoya kutoka kimapenzi.. Ilikuwa uongo? Kiki? Exclusive: Diamond...
0 Reactions
10 Replies
13K Views
Bidada anayemuweka mjini Harmo rapa kumbe sio mtu wa mchezo mchezo, baada ya kufanyiwa alichokiita ni kuchukuliwa poa na msanii aliyekuwa chini yake, dada huyo alimyimua jamaa huyo usiku wa manane...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Huyu mwanamke anatisha nilijua labda kavaa mask kumbe alifanyiwa surgery afanane na paka kisa mpenzi wake alikuwa anampenda sana paka wake kupitiliza ,akaona atumie pesa nyingi ajibadilishe Sasa...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
Mpigie kura Diamond Platnumz ili aibuke mshindi katika kipengele cha video ya mwezi. Hakikisha una akaunti twitter na tena nenda MTV BASE EAST kupiga kura. FROM MTV BASE EAST.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kila la heri Paul Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu katika dunia hii , make Bongo flavours hit again. Happy birthday Khalfani a.k.a Mdachi.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kitendo cha Mh Mwakyembe kuzomewa huku Nape kushangiliwa siku ya jumamosi uwanja wa Taifa halikuwa jambo la kawaida. Lazima lilimpa Rais wetu msukumo wa kujitathmini juu ya maamuzi ayafanyayo...
21 Reactions
39 Replies
6K Views
Waziri wa sanaa anatarajiwa kuwakutanisha kiba na diamond mjini dodoma ili kuweza kuwapatanisha na kuondoa tofauti zao, wakali hao wameteuliwa kwenye kamati ya team ya taifa serengeti boys Je...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Weusi wametoa ngoma Kali sana inaitwa "ya kulevya".... Gnako kwenye chorus Nikki wa pili kachana....ni jungu la kisomi kwa bashite na mkuu....sidhani kama huu wimbo utachukua mda.
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Hapo kuna Brooklyn boy Jigga Hova Jay-Z mwanamuziki na mjasiriamali kutoka New York Marekani. Ni tajiri aliyevuna pesa kwny Music na Biashara kibao, aliwah kuwa Ofisa mkuu wa Def Jam, pia ni mmoja...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Huu wimbo kama ikishutiwa Koromije utanoga sana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msanii wa kizazi kipya baraka andrew almaarufu Barakah The Prince amekana kurudi katika menejiment yake ya zamani wakati akihojiwa katika kituo cha redio ya clouds fm, hapo hapo ametumia muda huo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Msanii huyo aliulizwa kuhusu kulipwa na Harmorapa kufanya kolabo na kununuliwa nguo za kufanya video, alidai huo ni uwongo na msanii huyo hana hela ya kumlipa yeye, ana sema alimsaidia tu kwa kuwa...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Msanii maarufu na machachari anayetikisa anga za Afrika Mashariki na Kati anayetabiriwa kupata tuzo nyingi mwaka huu kutokana na nyimbo zake kali kuwahi kutokea apa Tz na Afrika kwa ujumla amepata...
9 Reactions
95 Replies
15K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema wataufungia wimbo wa 'Wapo' wa Nay wa Mitego kwani hauna maadili. Amesema haufai unachochea vurugu. ======= UPDATE...
6 Reactions
191 Replies
37K Views
Jamaa kama kawaida yake kasepa na kijiji...show imefanyika kwa uwanja na cyo kwenye vbanda umiza. Go chibu go..!!!
13 Reactions
99 Replies
12K Views
Heshima kwenu Mkuu, Msanii wa Bongo Fleva Ney wa Mitego, amesafirishwa kutoka Morogoro na kupelekwa Dar. Ney wa Mitego alikamatwa jana na Polisi mjini Morogoro kwa sababu ya wimbo wa Wapo...
0 Reactions
58 Replies
10K Views
In a new promo for Keeping Up With the Kardashians, Kardashian West reveals she is struggling with the possibility of a high-risk pregnancy as she and husband Kanye West try to conceive again. “I...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Katika ukurasa wake wa FB peter kibatala amesema watapigana mpk tone la mwisho leo hii 27/3/2017 kuhakikisha ney wa mitego anapelekwa mahakamani na anapewa dhamana. Ameandika hawawezi kumwacha...
28 Reactions
130 Replies
18K Views
Ney wa mitego naona sasa ameishiwa na kuamua kutafuta kiki kwa nguvu,hii nyimbo yake haina maadili kabisa,cover yake ni matusi tupu. Nadhani TCRA imefika wakati huyu jamaa afungiwe kwa muda ili...
2 Reactions
81 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…