Usiku wa March 3 huko Las Vegas nchini Marekani waimbaji wa Bongo fleva Alikiba na Ommy Dimpoz walipiga show katika ukumbi wa Sky Beach Club Marekani kwenye Tour yao. Binafsi bado sijaridhiswa na...
On Friday, March 4, 2017. The Grammy-winning singer Adele almost fell off stage during her first performance in Brisbane, Australia. When she was performing "Hello" while trying to run up a set of...
Msanii Ali Kiba amekiri hajui kuongea kiingereza vizuri, lakini hata hivyo amedai kiingereza sio ishu na kwa kuwa ameimba Kiswahili na amepiga hela na kuchukua tuzo mingi.
Pia amesema Wanaosemwa...
Hapa bongo tuna mastaa mbalimbali wa fani tofauti,, lakini mastaa hao wamekuwa na mambo ya kuchekesha kama sio kuudhi, mastaa wa bongo wanapenda kuonekana kwenye magazeti, kiki zisizo na msingi...
Kutajwa kote huku kwa Mkuu wa MKoa wa Dar es salaam hajafikia viwango cha kuwa Celebrity? Maana hata kwa sisi wa mikoa ya huku upenuni tunafuatilia kinachojiri huko Dar es salaam kuhusu Makonda...
Huyu jamaa ni mbunifu sana, anakipaji na hutoa vitu ambavyo ni tofauti sana na wasanii wengine!
Ni stand up comedy mzuri na pia kwenye nyanja nyingine za sanaa yupo vizuri!
Hii ni video yake...
Najaribu kufikiria tu,itakuwaje 2030 kama hali sasa ndio hii!Wadada mungu anawaona,ila style hiyo ya Minaj ukiwa na lapa huwezi ifanya!Wale wa kupiga jeki hii haiwahusu kabisa
Mwanamuki kutokea hukooo mji kasoro bahari, Dayna Nyange alizua gumzo na vipicha vya nusu uchi anavyotupiaga mtandaoni ila alipoulizwa na mtangazaji wa EATV alidai picha hizo zinamsaidia sana...
Heshima kwenu wana jamvi wenzangu..Kwanza nianze na masikitiko makubwa niliyonayo juu ya Kamati nzima ya Miss Tanzania,Waziri wa Habari na Michezo mh Nape Nnauye,kiukweli munatuumiza sana...
Ni aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa,
Inabidi atengeneze website nzuri iwe yake binafsi ama hata ya wcbwasafi,ambapo humo...
Zari kama mwenyewe anavyojiita bosslady wiki aliopita alisaini mkataba wa kuwa Brand ambassador wa GSM mall zilizopo Pugu na Msasani.
Tayari ameshafanya tangazo bado kutoka tu, pia jana alikuwa...
Hivi mmesikia huu wimbo mpya wa linah unaitwa kosa sina? Aiseeh ni shigidaa, linah Ana sauti mubashara, dah ile Sauti sio ya nchi hii hakyamungu, mtoto anaweza mpaka anaboa, hongera sana linah...
Msanii wa Bongo Movie baada ya mumewe Chid Mapenz kuswekwa lupango kwa tuhuma za madawa ya kulevya , msanii huyo amedai misuko suko kwenye ndoa ipo na alishaonywa kuwa ndoa inakuwa haijanyooka...