Mambo,
Hapa katikati kumeibuka tuzo nyingi tu kwa wasanii wetu wa nyumbani kwa mfano InstAwards, sasa hawa wasaniii wamekuwa wakiomba kura kila siku wamesahau kuwa kazi nzuri ndo inafanya upigiwe...
Habari zenu wakuu.. (maana humu kila mtu ni mkuu)
Yule hit-maker wa Muziki, Darasa, alifanya vizuri sana na huo wimbo kiasi kwamba akapata "rate" kubwa ya viewers youtube (many viewers in a week)...
Jana kupitia channel 10 kwenye kipindi cha tutafika? mwandishi william Shao alikuwepo akichambua kitabu chake hicho,mwandishi kweli ana point za kutosha niliona mpaka Dr Lwaitama alikuwa kimya...
Ofisi za serikali zimeendelea kumuandama diamond platnumz Taarifa iliyoanza kutoka Feb 22 na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya Diamond Platnumz kuitwa Makao Makuu ya...
Muigizaji maarufu wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ametapeliwa mamilioni ya fedha na kampuni moja ya simu ya Wachina baada ya kuingia nao mkataba wa kuwa balozi wao hapa nchini.
Wastara aliingia...
Imebainika ya kuwa mwanadada mlimbwende wema sepenga baada ya kutiwa ndani na umaarufu wake kupungua kwa kutajwa kuwa anatumia unga ikabidi atumie akili ya ziada kuokoa App yake
Hii ni kwa...
Staa mwenye mvuto wa aina yake kutoka nigeria,Tontoh dikeh,hivi karibuni baada ya kuachana na mume wake waliyebahatika kupata mtoto mmoja,ameibuka na kudai kuwa mwanaume huyo hafai kwani alikua...
Huddah Monroe, sio jina geni especially kwenye ulimwengu wa mastaa wa kike wanaokimbiza kwa sasa kwenye urembo Africa Mashariki. Habari mpya ni kuwa mrembo huyo kwa sasa ataonekana kwenye film...
Apa alikuwa akimponda mawe mwandishi wa habari kutoka grobal publishers aitwae Shakoor jongo alipomfuata mama huyo nyumbani kwake maeneo ya sinza mori# through back 2012..
Tangu Mirror aingie kwenye bifu zito na petii amepotea kabisa katika ramani ya muziki
Petii alimwambia kabisa bwana mdogo nitake radhi la sivyo utapotea kwenye gemu dogo akajifanya mjanja...
KAMATI YA MAZISHI YA KANUMBA NA KASHFA YA KUCHAKACHUA MICHANGO
Hawa wenye suti na miwani myeusi ndio baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wanaodaiwa kufanya upigaji huo wa fedha za michango ya...
Ney wa mitego ni msanii ambaye anajua sana kukwepa maswali ya kimtegotego
Nimekuwa nikimfatilia kwenye interviews nyingi jinsi anavyoulizwa maswali na anavyojibu ,aisee huyu bwana mdogo yupo...
Mpambe na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi kuachana na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na Mwanamke mwingine..
Kauli hiyo inaashiria kwamba...
Hakuna tukio lililoniumiza jana kama hatua ya Wema Sepetu kuhamia CHADEMA. Sikutaka huyu binti mrembo na ambaye nampenda sana kutoka CCM. Najua ndani ya CHADEMA anaenda kupotea kabisa...
Cha...
Habari wadau...
Hii awamu ya kuisoma namba ni kweli namba tunaisoma wote au watumishi tu..Mfanyabiashara maarufu wa nywele za kidoti amejipa outing kidogo ya kwenda kuchek NBA all star game...
Msanii wa bongo fleva Khalid Mohamed 'T.I.D' ameahidi kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaosambaza taarifa kuwa amepewa pesa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kama kivuli katika...
The brother-man from Harlem has been the center of attention lately, especially on twitter. Bila huyu jamaa, pengine Jay-Z, The hottest Rapper that ever did it asingekuwa kabisa au angechelewa...