MTVBASEAFRICA:Watoa list ya wasanii wakuangaliwa sana mwaka huu 2017,Huku Tanzania ikiingiza wasanii watano na wakiweno wa Wcb_wasafi wawili,
Rayvany na Harmonize_tz.
Watanzania kama ifuatavyo...
Rapper Canal Top wa Akudo Impact ambaye mmiliki wake ni Prof Kapuya inasemekana amekamatwa China akiwa na Madawa ya kulevya
stay tuned kwa habar zaid
source;mwanamuziki mwenzie wa Akudo
habari za jumapili
leo mida ya kama 1710 nilipokuwa nasikiliza clous fm kutoka online huku niijaribu haya mashikolo mageni. mtangazaji wa muda huo katika kutangaza kwake akasema,"....maua sama...
Kutokana na utafiti uliofanywa na KoraAwards, umebaini kuwa, katika kipindi hiki ambacho soko la mziki Afrika linakuwa kwa kasi, katika sehemu mbali mbali, duniani mwanamziki kutoka Tanzania...
Imebainika kuwa yule msakata kambumbu katika club ya Genk uko ubeligiji Mbwana Ally Samata alimuomba fumu muuza nyago na mjasirimali Gigy Money.
Gigy money amedai kuwa Samata alimtumia e.mail...
Mwanadada maarufu mitandaoni, Mange Kimambi, ameyaandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Instagram kufuatia sakata la Wema Sepetu kuitwa Polisi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda...
Wasalaaam wakuu,
Nimemsikia msanii anaitwa Ibrahnation,
Sikuwahi kumsikia kabisa lakini nimepata kazi zake mbili hivi na nimeletewa na mtu.
Sasa nilitaka kujua;
Ametokea mkoa gani na kwa sasa...
Huku tukiwa tunamalizia weekend yetu mubashara, nimejikuta nakumbuka tu maneno ya msanii wa mziki wa bongo flaver ,Chid Benz kwamba hana nauli ya kwenda central kuitilia wito wa mkuu wa mkoa wa...
Huyu jamaa ametoa nyimbo na underground kama reynavvy na kuweka record ya viewer million mbili ndani ya siku mbili. Sasa hii ya sasa hivi katoa na msani mkubwa tena anajulikana dunia nzima lakini...
Teh teh teh nauliza tu jamani kama huyu jamaa naye ana bodyguard sababu mara nyingi tunamuona diamond kila anapoenda ni lazima utamuona akiwa na njemba inayomlinda lakini kwa Alikiba sijawahi...
Mkuu wa Mkoa Dar es salaam kupitia Account yake ya Instagram Ameandika Ujumbe unaotafsiriwa ni kama kuwajibu wakosowaji wote ambao wanabeza na kudharua kile anachokifanya.
Katika Ukarasa wake wa...
Sina maana ya kumchukia Wema Sepetu, ila navyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu.
Sasa linapokuja suala la Wema...
2016 was the year I became a fan of Charlamagne. Knew the dude before I knew TBC, through Mtv's Guy Code, but never really felt his vibes then. Now I fcuks with him, mainly for his taste for...