Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha U Heard na kudai haoni kosa kwa kuwa kuna watu wanajiita Simba, Dudu baya ina ni majina ya wanyama lakini kwa kuwa ni yeye amemuita Harmo Rappa Nyani wanaleta...
3 Reactions
55 Replies
14K Views
Masogange alipohojiwa na gazeti la mtanzania alikuwa na haya ya kusema; "Kwanza mimi nimeokoka, halafu huyo Makonda hata sijawahi kuonana naye ana kwa ana zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya...
10 Reactions
117 Replies
20K Views
ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake. Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema...
3 Reactions
87 Replies
15K Views
Namkubali dai kwa nyimbo hizi Lala salama My number one Utanipendanga Nitarejea Nyingine zooooote kwangu ni blabla
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Akihojiwa kwenye radio ya Times fm now, Msanii mkongwe nchini,lady jaydee amesema kuwa yeye haoni tatizo kwa wasanii wanaotumia kiki kwani kila mtu ana strategies zake kwenye muziki...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Pamoja
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Kama mambo yakienda sawa leo mahakamani ,wema sepetu akifanikiwa kupata dhamana kuna uwezekano mkubwa wa staa huyo kuhudhuria arobaini ya mtoto wa ex wake diamond platnums, akizungumza live...
4 Reactions
116 Replies
19K Views
Yadaiwa kuwa Gigi Money alipigwa na mpenzi wake hadi kutoka ngeu baaada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na Joti na Gigi Money kudai kuwa Joti ana sehemu ndefu isiyoonekana ndio maana amempenda. Joti...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Katika sakata hili la madawa ya kulevya jana ijumaa iliongezeka list ya watu wengine akiwemo video queen maarufu anayefahamika kama "TUNDA" Kinachodaiwa kumpeleka video queen huyu central siku ya...
5 Reactions
95 Replies
20K Views
Habari zinazonifikia kitaa kutoka town zinasema kuwa Harmorappa underground ambaye amehit kwa kasi amepata shavu . Leo asbuhi alionekana Nairobi na inasemekana yupo kule kufatlia dili ya kuwa...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Habari zilizotapakaa magomeni ni kwamba mtangazaji mmoja wa clouds fm na clouds tv alikuwepo siku ile zungu la unga chonji lilipovamiwa na polisi. Inasemekana na yeye alikuwa anapaki mzigo ila...
2 Reactions
81 Replies
20K Views
Hii couple ninachoipendea ni independent, hakuna anayemtegemea mwenzie wote ni ma fighter
9 Reactions
37 Replies
7K Views
Hii inakuaje kutoka na kiki yakumsiliba Mwenzio Wimbo wa engine Ft mchomvu wamewachana wasanii kama 1.Darasa 2.Harmonise 3.Ney wamitego 4.Sterio 5.Joh makini 6.Godyzillah 7.Mr.blue Kwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Baada ya Jay-Z na Jim Jones 'kumaliza uhasama' wao wa muda, na Jim ku-sign kuwa chini ya uangalizi wa Roc Nation, Jim ameanza kuogelea uwezekano wa hawa maadui wawili wa zamani kuingia studio na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu jamaa ni nani? Nimesikia anatajwa tajwa sana. Moja ya msanii alie mtaja ni Joh Makini kwenye ngoma ya Waya.. Naombeni wataalam wa mambo mnijuze sifa za huyu Mandingo wa ndingo Ni nani...
0 Reactions
93 Replies
30K Views
Diamond amesema anamsikitikia sana wema na amemualika kwenye sherehe ya mwanae kufikisha siku 40
0 Reactions
14 Replies
4K Views
So Guys Handle Him With Care. Despite His Bulkiness, Inside He Is So Light To The Extent That He Cannot Handle New Challenges From New People. I Just Wanna Tell Him That Virtual Battle Is Quite...
8 Reactions
183 Replies
25K Views
Umofia kwenu JF, Sakata la ngada limechukua sura mpya baada ya wasanii wengine kujumlishwa,akichezesha taya mwandishi wetu na mkuu wa kitengo cha ngada amewataja wasanii hao ni Emmanuel Mgaya aka...
1 Reactions
48 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…