KWENYE "MKUU WA MKOA" O TEN anasikika akisema;
" Nakaa na mama wa kambo, sikufahamu CHOCHOTE
Kumbe si mama mzazi, sikutambua LOLOTE
ETI MAMA'NGU ALINITOSA, MOLA AKANIONGOZA..."
"TOKA NINA MWAKA...
Dada yetu Shishi Beibe aamua kuonyesha minyonyo yake baada ya show kubuma Ubelgiji. Ushauri kwa wasanii wetu muziki wetu bado sana nje ya Africa kazeni kwanza hapa huko Ulaya na America hebu...
Kijiwe niaje!
Ni wengi ambao tunawajua watu wakiwa maarufu ila ni wachache zaidi tunaowajua kabla ya kuwa maarufu aidha kwa kusoma nao, kujuana nao, kucheza nao utotoni, n.k
Binafsi kwa huku...
Anaitwa Beka flavor zao la yamoto band walimokuwemo Mboso, Aslay na wengineo.
Kijana anauwezo mkubwa sana wa kuimba japo mafanikio aliyonayo kimziki hayalingani na kazi kubwa anayoifanya...
Lauryn Hill
Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill.
Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya...
Queen Darleen,
Nadhani kama wanawake wa Kiislam walikuwa hawajawahi jua ugumu wa uke wenza sasa wanajionea dhahiri kupitia wewe.
Queen, kuwa na huruma we mama (maana hata sio dada, enzi niko...
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba...
Toka mitaa ya Upanga Kilombero ama Kalenga kuvuta bangi na washikaji mpaka Mjengoni. Muite MwanaFA.
Kuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki...
Nimeona Chid analalamika kaimba na Diamond ila ajalipwa pesa.
Ni hivi Chid Benz ana wimbo unaitwa Tunaishi nao kamshilikisha Diamond Platnumz.
Chidi analalamika mtu ambaye kamshilikisha kwenye...
Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado.
Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na...
S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki...
Ricardo Momo
I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions.
Sadly, he could simply operate his...
Xavier huyu Jina lake halisi ni Pakalu Papito ukimcheki Facebook utaona wasifu wake, alivyojiunga Twitter mara ya kwanza tu akapost hello Twitter am single, sifa yake kubwa ni ubishi.
David na...
Mwanasoka bora duniani ambaye bado anawaacha Mapaparazi vinywa wazi juu ya ukweli wa watoto wake Mapacha (Eva na Mateo) na hata Cristiano Jr, wako wapi Mama za hawa watoto
.
Issue ya Mapacha hawa...
Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake.
Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie...
Mr pipa sijawahi rudia nyimbo moja Mara 5 Mimi nikipakua nyimbo nasikilizaga mara mbili ya tatu nafuta
ila huu mkwaju wa hawa jamaa mpaka sasa nimei play Mara 78
Asee hii bonge moja la pini...
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.