Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Inasemekana ndoa ya Mange Kimambi imefika ukingoni. Ni habari ya kusikitisha sana kwa wapendwa wake ila kwa wengine ni furaha isiyo na kifani BREAKING NEWS!!!! This thread is started...
7 Reactions
432 Replies
165K Views
Bodi ya Chuo Kikuu cha Howard, kihistoria kinachotambuliwa kuwa chuo kikuu cha watu weusi huko Washington DC, imeazimia kumvua Sean "Diddy" Combs shahada yake ya heshima. Tangazo hilo linakuja...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mnaosikliza redio vipi wale vijana B 12 na Adam Mchomvu wamefit pale kwenye kipind cha jahazi au wameleta ujana wao wa XXL?
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant. Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?
22 Reactions
321 Replies
58K Views
MIKWAJU 50 KUTOKA KWA DUNGA Nilianza KUSIKIA kazi zake akiwa na ndugu yake aitwaye SHAKII, huku wakisuka MIDUNDO mikali. Miaka ikaenda, nikamsikia akifanya ushirika na LAMAR pale 41 RECORDS...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba Ngoma za huyu mwamba...
22 Reactions
59 Replies
9K Views
Mwanamuziki mkongwe nchini, Rehema Chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini Lady Jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo...
9 Reactions
144 Replies
37K Views
Habari zenu Wana jf wote. Hii ni kwa wale wapenzi wa rock music bendi maarufu ya rock iliyosumbua miaka ya 80 bon Jovi Leo ijumaa wameachia album yenye nyimbo 12. Album hiyo inajulikana Kama...
2 Reactions
0 Replies
208 Views
Jana kwenye uzinduzi wa 7 Media ya Baba Levo niliona kumbe Mwijaku hana shida na Diamond wako poa kabisaa. Pointi yangu natamani sana Diamond amwambie mwijaku hata kama anamkubalia amtukane ili...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Yan kila mwisho wa nyimbo zako sukari ndio inazidi. Unafanya mtu kurudia wimbo tena na tena na tena tena na tena Ref: Pacha wangu Roho yangu Ibaki story Kokoro Naiman
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila. Angalia video hapa Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Msanii Diamond platnumz amemzawadia Haji Manara kitita cha Million 15 kwenye usiku wa Engagement party yake iliyofanyika siku ya jana. ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from WasafiTv
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Abbas Kinzasa ndilo jina halisi la Sindano Ndogo Inayoshona Makoti, lakini kutokana na kutotaka kujivimbisha kichwa akajiita asilimia ndogo ama asilimia ishirini kwa lugha ya Kimasai, mwite 20%...
5 Reactions
2 Replies
512 Views
Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
20: Roma Mkatoliki 19: King Crazy GK 18: Inspector Haroun/Babu 17: Chid Benz 16: Joh Makini 15: Langa 14: AY/MASTA 13: Mwana FA/Binamu 12: Nick Mbishi 11: Faza Nelly 10...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza. Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina...
13 Reactions
63 Replies
5K Views
Jana siku ya jumamosi Nick Minaj amekamatwa Uholanzi kwa kuwa na madawa ya kulevya, baada ya kukaguliwa na kupekuliwa alikuwatwa namadawa hayo wanaita WEED ambapo yalionekana ni kwaajili y...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
15 Reactions
156 Replies
9K Views
Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania. Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam. Alianza...
8 Reactions
81 Replies
3K Views
Back
Top Bottom