Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
Masaa kadhaa yaliyopita Kendrick Lamar ametoka kufanya show ya kibabe sana kwenye viunga vya Los Angeles California. Show hiyo ilipachikwa jina la POP OUT - KENNY AND FRIENDS CONCERT.
Mastaa kibao...
Hivi hili group la BDP (Big Dog Pose) lilikuwa linajumuisha watu gani kwa maana ya majina yao na je wako wapi kwasasa?
Nilikuwa na sikiliza Ngoma zao Kama Rudi, majobless na ile Walio...
Naam wakuu,nimejiuliza hili swali baada kufuatilia mwenendo wa ufanyaji kazi wa kituo Cha televisheni kinachomilikiwa na msanii diamond,hasa nikilinganisha na kiwango Cha usikivu wa kituo hicho...
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp...
Hello bosses and roses, it has been a while...
Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota...
Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.
Ameandika...
Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila...
Habarini za usiku wakuu, kwa masikitiko mwanamuziki Josky Kiambukuta amefariki dunia mapema Leo huko Kinshasa.
Marehemu Josky Kiambukuta alikuwa mwanamuziki hodari aliyeimba katika bendi ya Tp...
Baada ya Mwemba Burton maarufu @mwijaku kusema na kuandika maneno ya udhalilishaji kwa msanii @mauasama hivi karibuni amejikuta akikalia kuti kavu baada ya Maua Sama kupitia Wakili wake, Claudio...
Tangu mwezi uliopita Bambo amekuwa akitrend sana mitandaoni, ni kitu gani kimemrudisha kwa kasi ya 5g?
Naona pia watoto wa 2000 wamevutiwa sana na style yake iliyowahi kumpa umaarufu ya...
Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni...
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi.
Cc: kataa ndoa
Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na...
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira.
Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja.
Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
TANO KALI ZA NASIBU .
Kabla matikiti hayajaanza kudondokeana yalistawishwa kwenye kitalu bora kabisa Cha bishoo bob junior pale sharobaro records.
Nasibu Abdul Juma hakuviiba na kuviuza Vito vya...
Leo nimeukumbuka wimbo wa ''jumba bovu''" nimemkumbuka mchizi wa Dar Skendo.
Kuna nyimbo zake kali zilizobamba kama "Baisho" akiwashirikisha unique sisters na wimbo "njoo cheza nami"
Yuko wapi...
Jana imesambaa Video ya kalighlaf akijisifia kuwa hakuna rapper yeyote BONGO TZ anaemuweza ku rap
"Labda maneno ya wahenga masikini akipata mato.."
Kalighlaf BONGO amekuwa introduced na NIKKI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.