Wengi wetu wahenga tunaijua hii couple
Raqey ni mtu mwenye historia ya kusisimua katika kujitafuta kwake mpaka kujipata (zero to hero)
Sarah pia ni mwanamke mrembo na mpambanaji sana, kajipata...
Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania.
Michael Jackson ni msanii mkali sana na anaheshimika mno kutokana na mambo aliyofanya kwenye...
Zuhura sijapenda kabisa.
Kwa nini unaruhusu wakuuedit ili kufanya ngozi yako ionekane ni nyeupe Wakati sio kweli, Ivi kwani na wewe unaamini uzuri wa mwanamke upo kwenye rangi ya ngozi yake...
Hivi watu wanakumbuka mchango wa huyu mwamba katika Entertainer ya bongo flavor au ndio kila mtu ale urefu wa kamba yake?! 😂
Wanamuita Lucas Mkenda au “Mr Nice”
#Legendary
Una maoni gani kuhusu kauli ya Rose Mhando?
"Mimi siijui ndoa mpaka sasa naenda kutimiza miaka 50 sijawahi kuolewa. Sio kwamba mimi ni mbaya sana hapa! Mwanaume ambaye yupo tayari kunioa mimi...
Tukutane hapa mashabiki wa Mfalme wa Pop na mwanamuziki mwenye mafanikio zaidi duniani kwa mujibu Guiness book of records kwaajili ya kushare habari zake, picha, historia na zaidi ya yote zawadi...
---
The king of squats: Nkululeko Dlamini
The product of his signature squat routine scored with maskandi music, Nkululeko Zane Dlamini’s incredibly toned thighs and glorious glutes — combined...
Story kubwa duniani leo ni Msanii namba moja duniani na msanii namba moja Africa. Chris Brown na Diamond Platinumz.
Chris Brown ameonesha kupagawa na wimbo namba moja kwa sasa Africa uitwao...
Shilole akiwa na msanii wa Koffi.
Tukio hilo lilitokea ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, ambapo Shilole alienda kwa ajili ya kushuhudia shoo ya mwanamuziki huyo.
Akiwa ndani...
Imekuwa ikielezwa kuwa wasanii ni kioo cha jamii. Kwa maana hiyo wanatakiwa kufanya mambo ambayo yanaweza kuigwa na wale wanaowatazama.
Hata hivyo,maisha wanayoishi baadhi ya wasanii hayaakisi...
Katika familia za mastaa inayonivutia zaidi hapa bongo ni ya hawa wanandoa Raqey Mohamed pamoja na mkewe Sarah, yani familia iko poa sana. Wakati baba akimiliki kampuni ya kupiga picha za mnato...
Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala...
Huyu binti ni balaa
Ana mwezi mmoja yupo anaizunguka ulaya anakusanya paund
Kwa miaka ya karibuni sijapata kuona msanii wa kike mwenye influence km huyu
Anapendwa sana kwa nchi zilizoendelea...
Mmh huyu shoga kidawa c mlokole Jaman , imekuaje tena , ila ninachompendea Muna linajua kujipendekeza kwa watu wa maana, ila atengeneze tu pesa, hayo mambo ya ushoga wa bobrisky hayamuhusu[emoji16]
Taji Liundi
Diamond Platnumz
Akizingumza na vyombo vya habari mtangazaji na msema chochote maarufu Dar es Salaam Taji Liundi amesema Diamond anatakiwa kushabikiwa kama mungu mdogo.
Ameyasema...
Habari za jioni wakuu,
Let me get straight to the point... Young Lunya ni msanii ambae ni mkali wa mashairi na flows pia. Huwa namfananisha na bwana mdogo mmoja enzi hizo kule states wa kuitwa...
Ninamtabiria huyu mwanadada Zuwena Muhammed(Shishi baby) baada ya miaka mitano atakuwa ni miongoni mwa wasanii wa kike wenye pesa nyingi zaidi hapa nchini.
Kitu kikubwa ambacho kinanisukuma...
Huyu jamaa ingekuwa yupo kabila la wenye misimamo wangesha mchapa viboko kwa mwenendo wake ila utafutaji wa riziki japo sio mwajumwa wa uswahilini.
Huyu jamaa kwa sasa kunaweza kumkost japo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.