Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri.
Chumvi kapata chombo ya ukweli.
---
NUSRAT HANJE JIKO JIPYA LA MAULIDI KITENGE
Mtangazaji...
Siku zinaenda
DAZ BABA, mmoja kati ya wanaMuziki mahiri kabisa niliowahi kuzisikia sauti zao zikiimba tungo (MUZIKI) kwa ustadi wa hali ya juu
DAZ BABA alikuwa akiiwakilisha DAZ NUNDAZ...
Ameachieve kila kitu kwenye muziki kwa kipindi kifupi kuanzia kuingiza ngoma Hot 100, kuingiza Billboard 200, kushinda tuzo ya Grammy na kushinda tuzo za BET.
Alichobakiza ni kuwa na wimbo wenye...
Burna Boy usiku wa jana ameonesha ukubwa wake kidunia baada ya kufanikiwa kuujaza uwanja wa London kwa mara ya pili mfululizo na kuweka historia.
Uwanja huo maarufu duniani unaingiza mashabiki...
Week Mbili zilizopita ndugu yetu intelligence Business man kwenye jukwaa hili alileta Diss ya Kendrick Lamar kwa Drake Na J Cole,katika nyimbo ya future na metro Boomin like that,,
Wapenzi wa rap...
Jamaa anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats kutoka Africa ya kusini.
Amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake na Wanaume kutengeneza shepu zao za makalio kwa...
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz usibabaishwe na tuzo za BET kwasababu soko la mziki Marekani limeanguka na Wasanii wake hawana mashiko kwa sasa. Mziki mzuri upo Africa kwa sasa ukishikiliwa na...
Rumor has it mzee wa hulisi kamtwanga dada wa bango la valentine talaka moja na mke wa pili juu......
Tatizo sio kuachika, tatizo ni kujishaua sana my husband this my husband that, vikiumana...
Hawa ni watu ambao uchekeshaji sio kazi yao rasmi ila kila wanapoongea mbele za watu au kwenye mahojiano hawaachi kuwavunja watu mbavu.
1. Mheshimiwa Makongoro Nyerere
2. T.I.D
3. RC Chalamila
4...
Marehemu mwigizaji kutoka nchini John Okafor (62) maarufu Mr Ibu anatarajia kuzikwa leo Juni 28, 2024 katika mji aliozaliwa wa Amuri, Jimbo la Enugu.
Mr Ibu alifariki dunia Machi 2, 2024 wakati...
“Tangu 2013 nilikuwa sijaenda America mpaka 2021 sababu nilidhamiria kujijenga na kufanya vizuri zaidi kwenye local market (Tanzania) wakati mimi naweka nguvu zaidi kutaka kujijenga zaidi local...
Kazi na dawa! Ubalozi wa Tanzania Nchini Comoro umekuwa na wakati mzuri na msaanii Jay Melody ambaye ametumbuiza kwa onesho kabambe mwishoni mwa wiki kufuatia mualiko toka Taasisi za Sanaa Comoro...
Maneno ya Alikiba
"Hutawai niona nikipost pesa, magari makubwa ama vitu expensive namiliki, sio kwa sababu siwezi, ni kwa sababu nayajua haya maisha vyema, kuna watu wanateseka na wanatamani...
Nifah na wanajf wenyeji wao mzito imekuwaje Mauzinde katua Canada bila masikio? Nani mfadhili? Kasema atafanya bonge la party ya kukatwa masikio.
Au kukatwa masikio ilikuwa mchezo ili apate...
Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki.
Picha zake zinanipa shida kubwa sana na sijui how ntarecover na nachokiona...
Huyu mzee asaidiwe.
Inaonekana wazi kuna pepo la uzushi limeweka kambi kwa ubongo wa wake.
Hivi huko Dar hakuna nabii mwenye upako kama wa daddy wetu pale kisongo hemani achukue jukumu la...
Hatimaye kile kitendawili sasa kimeteguliwa. Sio kiki ya muziki wala movie mpya kama ilivyodhaniwa.
Nimewaletea video ya tukio zima la harusi kati ya Mr & Mrs Chande.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.