Hakuna upinzani Fredrick Bundala(SKYWALKER) uwezo wako wakufanya kipindi cha mahojiano kivutie ni next level bila ya kujali unamhoji Star au Normal person.
Kuna mtangazaji kupitia channel yake...
KIMEELEWEKA! Baada ya kuruka viunzi vya hapa na pale, hatimaye, mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameridhia kupokea posa ya rubani wa ndege, Hamdan Zakwani ‘Danzak’, Gazeti la...
1. Mark Zukerberg ndiye mmiliki wa mitandao ya Facebook, Whatsapp na Instagram,
2. Ana umri wa miaka 31, alivumbua mtandao wa facebook akiwa na miaka 20 tu. Baadae akaamua kuununua mtandao wa...
Mtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna...
Mtangazi wa Clous FM hapo siku ya jana alinusurika kuawawa maeneo ya Mwananyamala hapo majuzi nusura auwawe na bastola na jamaa mmoja
Chanzo cha habari kinasema kuwa wakati akiwa kwenye gari...
Habari!
Wajuzi, aisee nimeumiza kichwa mno ili niifahamu code hasa ya wimbo ule wa mtabe Young D.
Miongoni mwa maneno ya wimbo huo ni, '...she is beautiful, siyo mchoyo...'
Nani ameimbiwa? Ni...
Juzi juzi mbunge kijana Mohammed Dewji alikuja hapa na article yake juu ya mambo ya umeme. article hiyo inamuonyesha yeye kama amefanya uchunguzi yakinifu kuhusu hili swala la umeme. article hiyo...
yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi...
Khadija Omar Abdallah Kopa (amezaliwa Zanzibar, 1963) ni mwimbaji wa muziki wa Taarab na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania. Mbali ya muziki, Kopa ni mama wa nyumbani, mfanyabiashara na pia...
1. Hizi safari kila mara kwenye nchi zenye historia ya Sembe imekaaje?
2. Kwa biashara ipi?
3. Mnasifia wanaume wenzenu Hadi sio.
NB: Tunatahadharisha tu
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011...
Ndio sekta inayotoa mabilionea wengi hasa vijana lakini naona kwa hapa bongo ni kama hawapo kabisa, gadi sasa kuna mabilionea walewale wa maduka ya hardware, makampuni ya utalii, mahoteli, madini...
Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani.
Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.